Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
acheni kutuletea picha za Kenya wapuuzi nyie
greatest thinker.....
acheni kutuletea picha za Kenya wapuuzi nyie
Wenye sifa za kula uroda wa wake za watu unawajuwa sana, wataje tu, usione haya, kapotea sana siku hizi, kwema?.
Na weweeee
Ulikuwa unataka kuchukuwa mke wa mtu mkuu Mute? angalia usije ukagandana na huyo mke wa mtu ukaja kunitafuta ili nikugandue samahani.......................lol nimebalisha uamuzi wangu
mbona EATV waki zungumza na mtu aliepande hizo..amesema Mwanaume kaaga Dunia na amehifadhiwa Muhimbili...
Hahhahahahaaa Baba V mi niko kwenye chupa...sitapata muda wa kuiba wala hamu ya kuibae bana eeeee!!! Umenusurika? Sasa hivi tumegundua mbinu mpya, kama ni risasi hata kamuhanda anayo sema tu barlow alichelewa kuitumia, kwa sasa ukigusa tu unacho, utakomaje?
stupid post.... unakopi ya kenya
hivi huyo mtu hicho kidude kimetoka kweli kwani topeni si kuna joto zaidi ya Khartoum na muda alokaa huko sasa lazima anyonyoke kama kuku
Nijuavyo mie si rahisi mtu uitolee darasa ama maelezo baridi ya Mufindi , Arusha, Nrb, Makambako, au Kericho ilhali muhadithiaji uwe hujafika maeneo hayo!
Hence Mhe. Unaehabarisha details za temperature ya JICHO it means ?
Note : Staki jibu! Coz jibu liko wazi.