google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
Sio vibaya "ikisimama panda "Wahenga tunasemaga.... Ikiwaka mulika na ikizima papasa
Sio vibaya "ikisimama panda "Wahenga tunasemaga.... Ikiwaka mulika na ikizima papasa
Kazi ipo? Sio nathibitisha halafu unaishia kuniambia, "Mungu atakusaidia utapata".Duh thibitisha basi na kapicha
Ova
Thibitisha uoneKazi ipo? Sio nathibitisha halafu unaishia kuniambia, "Mungu atakusaidia utapata".
Sawa angalia pm yako.Thibitisha uone
Faster una kula ajira
Ova
AloohSasa mimi nitakosaje chura?
BaelezeSasa mimi nitakosaje chura?
Uhakika MkuuKama kuna maharagwe pembeni mimi huwa nang'ang'ania sitoki
Nimeiona mkuuMleta mada hajaiona hii comment...
Nimeshaku PM mkuu..![]()
Kaz kwakoAlooh
Tamu
Pamoja mkuuNaona uswazi kwenu umeamua kufunga choo na hayo mangano yako na soseji, siku ukinya njoo utupeleke huko uswazi tukapaone![]()
Huu usemi niliuona sehemu Moja kwenye daladalaSio vibaya "ikisimama panda "
Kweli kabisauswazi kwenu papo vizuri mkuu
huku napopajua mimi, kwanza mihogo ina kachumbari na chachandu zisizo na ushirikiano.. Mwendo wa sahani ya plastic na inalika kwenye mkeka kwa wastaarabu ila kwa kawaida kwenye floor iliyojichokea haina marumaru wala chochote zaidi ya mashimo
sambusa zenyewe ni za viazi, ukichukua chapati, bagia, vitumbua au maandazi bhasi jua utafungiwa kwenye gazeti ama ukibahatika utapewa vifuko laini vilee
uswazi hupati tabu ya chai maana kikombe hadi mia mbili na ishaungwa sukari na pembeni kuna foleni ya wamama wanauza kila kitu nje ya mlango tu, bufee ya hela yako tu![]()
Aisee shuzi lake sasa,ni balaaKama kuna maharagwe pembeni mimi huwa nang'ang'ania sitoki


