Wamuhimu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 213
- 110
Huko ni mkoa wa Mara wala si kwingineTuambie ilikuwa ni wapi na lini mkuu
Huko ni mkoa wa Mara wala si kwingineTuambie ilikuwa ni wapi na lini mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu hiki ni kifungua kinywa tu, watu wapo serious kwenye idara
Duu OKMshana unabisha??kuna jamii kibao kanda ya ziwa hawali chai mkate bro
Kwa ninavyofahamu mkuu breakfast ni chochote cha kwanza kunywa/kula baada ya kuamka asubuhi!Automatically hii sio breakfast
Automatically hii sio breakfast