Breakfast nyepesi ya weekend...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,231
17,816
19959176_10155042658889051_9189402757511940363_n.jpg
 
Mbona hatuoni idadi ya wageni walioenda kuchumbia...???
Huoni kama binti yuko ugenini huku jemba imekaa comfortable kabisa ikionyesha hapo ni kwao?pia huoni binti kama vile anaulizwa swali na mtu fulani hivi hapo haonekani ila kwa kumwangalia binti utaona attention yake kaielekeza wapi...tena kama anaulizwa hivi mlisoma wote au mnafanya kazi wote?
Binti anaitikia tu eehh!
 
Watu wanaokula ugali kama huo.kwa makimbaaa huwawezi.kimba kama size ya mkono.
 
Huoni kama binti yuko ugenini huku jemba imekaa comfortable kabisa ikionyesha hapo ni kwao?pia huoni binti kama vile anaulizwa swali na mtu fulani hivi hapo haonekani ila kwa kumwangalia binti utaona attention yake kaielekeza wapi...tena kama anaulizwa hivi mlisoma wote au mnafanya kazi wote?
Binti anaitikia tu eehh!
Nimekusoma mkuu..:D:D:D
 
Hahahaha Wilbad hufai hata kwa mchuzi. Duh yaani umeitafsiri picha htr tupu. Sikupatii ulivyokua unapiga jiografia kwenye photograph interpretation
 
Back
Top Bottom