Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,663
Ndo hivyo. . .
Kusema kama ananipenda hasemi, kama hanipendi hasemi, wakati mwingine anaonyesha nna kanafasi mwingine haonyeshi. . .basi tabu tupu.
Wewe umeshafunguka na kumwambia unampenda?
Au unasubiri akuambie yeye kwanza?