For Heaven's sake, please stop this madness. Jamani vitu kama hivi ndiyo vinaleta uharibifu wa amani. Siyo wakristu wengi ni wema na kadhalika siyo waislamu wote ni wema.
Wako mapadre, maaskofu, wachungaji na wainjilisti ambao wanafanya uhalifu na wengine hata mauaji. Hii haina maana kuwa wakristu wote wako hivyo! Hata masheikh wako ambao wanafanya vitu vya kiharamia kabisa na haina maana kuwa waislamu wote wako hivyo.
Hivi ukiamua kuconcetrate na dini yako ukaacha kuingilia dini ya wenzako kuna ubaya gani?