Hiyo ni ya Brazil.Ya hapa Afrika ni yule mchungaji aliyewaambia waumini wake wa kike ambao hawajaolewa wavue nguo zao na kupiga magoti ili makalio yatokeze vizuri na mchungaji kuyabusu ili waolewe.Mstari mrefu wa wanawake walio uchi ulizuka ghafla na mchungaji alianza kazi nzito ya kubusu makalio!
Sidhani kama alikamatwa huyu.