Brazil vs taifa stars mapato sh ngapi tff?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brazil vs taifa stars mapato sh ngapi tff??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Jun 15, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Mmhh
  kama nakuona mwakabela unavyohangaika,,na ile hati ya karume
  pole sana najua amkusoma nyakati kujinufaisha anyway
  hivi tumezoe kusikia just a week mapato ya viingilio lakini sijui
  kunani mpaka sasa mapato ya mechi ya tff sh ngapi jamani
  wadau msaada
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280
  Wamesema hasara ni Sh 1.6 billion lakini mapato waliyoyapata na kiasi cha pesa walizolipwa Brazil ni SIRIKALI maana wanaficha ili MKUU asiadhirike.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wamesema wameingiza sh 1.7Bilion.
  Ni pesa ambazo hazijawahi kuingizwa tangu soka lianzishwe Bongo ingawa TFF imepata hasara.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  sirikali

  nimeipenda hiyo mkuu naweza kuitumia kwenye avator
  yaani ni aibu nilikuwa nasmikia jaamaa mmoja wa tff anadai hasara tupu...nikajiuliza hivi huyu raisi alileta brasil apige nao picha ama kama ulisikia baada ya mechi walipelekwa ndani akawa anapiga na wakina kaka,..robinyo kama ana akili nzuri...great presidaa
   
Loading...