Taarifa ya TFF kuhusu mapato ya mechi ya Yanga vs Simba

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
nauliza tff ni shs ngapi imepatikana mbona kimya wakati tunatumia mtandao wa kununua tiketi na zimeanza kuuzwa toka j3

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.

Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.

Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) ambayo ni sh. 1,000 kwa kila tiketi, timu mwenyeji Yanga imepata sh. 17,339,700, Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 7,431,300 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 24,771,000.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni Uwanja sh. 43,678,277.67, gharama za mchezo sh. 24,751,024.01, Bodi ya Ligi sh. 23,295,081.42, TFF sh. 17,471,311.07, DRFA sh. 10,191,598.12, timu mwenyeji Yanga sh. 100,460,038.64 na timu ngeni Simba sh. 71,341,186.86.

Habari kwa mujibu wa TFF.
 
Mkataba wa CRDB na TFF ulitakiwa kuwa na kipengele cha kutangaza idadi ya tiketi zilizokatwa,idadi ya mashabiki waloingia uwanjani na.kutangaza mapato ya mechi ilitakiwa kuwa ni sehemu ya "match report".kwa hali ilivyo tunakuwa na wasiwasi na aina ya mkataba uliopo.
 
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.

Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.

Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) ambayo ni sh. 1,000 kwa kila tiketi, timu mwenyeji Yanga imepata sh. 17,339,700, Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 7,431,300 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 24,771,000.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni Uwanja sh. 43,678,277.67, gharama za mchezo sh. 24,751,024.01, Bodi ya Ligi sh. 23,295,081.42, TFF sh. 17,471,311.07, DRFA sh. 10,191,598.12, timu mwenyeji Yanga sh. 100,460,038.64 na timu ngeni Simba sh. 71,341,186.86.

[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]Habari kwa mujibu wa TFF. [/FONT]
 
1. DRFA, TFF, FDF wanachukua kwa kazi gani hasa?
2. Anayelipwa kwa gharama za mchezo ni nani?, kama ni TFF kwenye namba moja ni ya nini?
3. Gharama za tiketi kwa nini zikatwe kwa asilimia, ina maana gharama ya kutengeneza tiketi moja haipo fixed?
4. Bodi ya ligi???? No comment.
 
keshoo kutwa unasikia tff wa miloni nne banki ndumbaro anaonekana mjinga ila ana uchungu na taifa kila kukicha wanataka misaada inaniuma kwel jaman makampuni kama. tbl nmb waache kuwekeza kwa wenda wazimu bora mjenge maaabara mashuleni
 
Sh.1000 kwa kila tiketi..asee malinzi ni janga
 
mi shabiki nguri wa soka la bongo,tena kuliko ulaya..naelekea kukata sasa..duu!
 
Aisee tff muwe na huruma na vilabu, vinatumia gharama sana mwisho wa siku vilabu vinakua tegemezi ktk mifuko ya watu binafsi.
 
Duuuuh!!! Hii kali sana hivi hata ulaya kuna upumbavu huu kweli,,,,????
 
Daaa Ndio maana watu wana taka kuuana kupata urais TFF ! Mipesa ya bure hiyo haina auditor ! Makato mengi mno Jamani imezidi
 
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.

Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.

Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) ambayo ni sh. 1,000 kwa kila tiketi, timu mwenyeji Yanga imepata sh. 17,339,700, Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 7,431,300 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 24,771,000.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni Uwanja sh. 43,678,277.67, gharama za mchezo sh. 24,751,024.01, Bodi ya Ligi sh. 23,295,081.42, TFF sh. 17,471,311.07, DRFA sh. 10,191,598.12, timu mwenyeji Yanga sh. 100,460,038.64 na timu ngeni Simba sh. 71,341,186.86
 
timu mwenyeji Yanga imepata sh. 17,339,700,

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 24,771,000.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni Uwanja sh. 43,678,277.67,

gharama za mchezo sh. 24,751,024.01,

Bodi ya Ligi sh. 23,295,081.42,

TFF sh. 17,471,311.07,

timu mwenyeji Yanga sh. 100,460,038.64

na timu ngeni Simba sh. 71,341,186.86

sijaelewa hizi takwimu
 
wakati ule wa mechi za mwanzo kiingilio ikiwa shilingi elfu 5 mapato yalikua zaidi ya milioni 700.......

picha nyingine ninayoiona ni nkwamba viingilio vya juu sana vinafanya watu wengi wakimbilie buku 7 kuchomwa jua kwani maisha ni magumu sana, ni heri waweke URARI MDOGO ili nasie tukakae kivulini
 
Siku hizi game ya Simba na Yanga mapato yamepungua sana
 
Majinzi anafaidi na hajatosheka anataka 5% serikali inamwangalia Kuna Nkamia ingilia kati.
 
Hivi kwa nini mechi za yanga na simba, mapato yake hayazidi mil.400??
 
keshoo kutwa unasikia tff wa miloni nne banki ndumbaro anaonekana mjinga ila ana uchungu na taifa kila kukicha wanataka misaada inaniuma kwel jaman makampuni kama. tbl nmb waache kuwekeza kwa wenda wazimu bora mjenge maaabara mashuleni
Je kama na huko shuleni haohao akina Malinzi watakuwa ndio viongozi wa Bodi za Shule?
 
timu mwenyeji Yanga imepata sh. 17,339,700,

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 24,771,000.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni Uwanja sh. 43,678,277.67,

gharama za mchezo sh. 24,751,024.01,

Bodi ya Ligi sh. 23,295,081.42,

TFF sh. 17,471,311.07,

timu mwenyeji Yanga sh. 100,460,038.64

na timu ngeni Simba sh. 71,341,186.86

sijaelewa hizi takwimu
Hukutakiwa uelewe. Na ukihoji ziaidi TFF wana mamlaka ya kukufungia usichangie chochote cha soka kwenye mitandao ya kijamii. Asiyejua kufa aangalie kaburi. Asiyejua nguvu za TFF amuulize Ndumbaru!
 
Back
Top Bottom