Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kuna watu wanatafuta mtoto wa kiume hawajampata kilahisi na hata walivyompata anakwa wa tabia za ajabu ajabu mpaka anamyia hasira aliyekuwa anamtafuta akijuta kumtafuta mwishoanambulia kuua , lakini mimi nasema safi tu kwa nini angeuze choo kama kiburudisho cha wanaume wenzie
 
Kama ni kweli Mungu yupo kwa nini huwa haachiwi kudeal na situation kama hizo? Kama Mungu yupo na mtoto akawa shoga basi muachie Mungu yeye mwenyewe atoe adhabu!
Kama mwalimu yupo na hakupi mtihani ukiwa na majibu anakuachia ujibu mwenyewe kwa nn MUNGU Nae Asikuache ?!!!..
 
Nimesema kijana akapumzike kwa amani ndoto na maisha yake yamekatishwa bila ya yeye kuwa na hatia yoyote.
Huyo mama yake ni muuaji tu kama wauwaji wengine na ingebidi ANYONGWE HADI KUFA!
Huo USENGE/UKHANITHI Kwako Sikosa lolote
 
Dhambi za kuuliwa zipo nyingi tu kwenye agano la kale ikiwemo uzinzi.
LEVITICUS 20:10 “If a man commits adultery with his neighbor’s wife, both the man and the woman who have committed adultery must be put to death."......sijawaona mkiua hawa watu pia.....Au mnachagua vifungu na vifungu kwenye Biblia?
Kutokuuliwa hao wengine haimaanishi kama hawa wengine kuuliwa sio halali

Mama wa muuaji ana akili KUBWA Sanaaaa
 
Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo.

Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa ili wamuue mwanae huyo. Jamaa hao(thugs) walimshushia kichapo kijana huyo hata hivyo walighairi kumuua ambapo mama mtu kuona hivyo alimua kuingia mwenyewe mzigoni kummaliza kumtoa uhai mwanae.

Akiwa Mahakamani mwanamke huyo amekiri kuua, lakini amepinga kumuua mwanae sababu ya kuwa shoga kwa kudai mwanae huyo alimtishia kumuua ndipo akamuwahi yeye.

Hata hivyo, Daria, baba mdogo/mkubwa wa Lozano akihojiwa na kituo cha TV nchini humo amempinga shemeji yake huyo kwa kusema, Lozano alikuwa ni kijana mpole, mwenye heshima na msikivu pia tayari alikuwa anafanya kazi, isipokuwa tatizo lake ni hiyo sexuality yake na siku zote mama mtu hakupendezwa na ndio sababu ya kumuua

Kwa upande mwingine jamaa waliokodishwa kumuua wao wamehukumiwa jela miaka 21 na miezi nane.
namuunga mkono motto choko wa nini sasa.?
 
So sad. Pumzika kwa amani kijana
Huyo mama ingebidi apewe adhabu ya kifo.
Huyu mama namuunga mkono kwa asilimia mia Tisa
Acheni kutoa mawazo ya kukurupuka mnaosoma maandiko Matakatifu kati ya wanafunzi walimuuliza Yesu ni dhambi gani iliyokubwa akawaambia dhambi zote ni sawa mbele za Mungu wachawi,waongo,wasagaji wazinifu ,wasema uongo wezi na mengine yanayofanana nayo adhabu yao ni ziwa la moto na ndio maana Musa akashushiwa zile amri na Mungu ili mwanadamu azifuate kinyume na hapo ni moto
 
We ni shoga?
 
Mungu ndie wa kuhukumu si huyo mama
 
Nasikia Jamaa mmoja aliuliwa na Baba yake baada ya kutumia vifaa vya Kanisa kuimbia wimbo wa Sexual healing (sina ukweli wa story hii?

Nashukuru kuona kuna wazazi bado wako vizuri
Si kweli, tatizo mtoto alifanya onyesho sehem ikaja cheque, kama ujuavyo Baba na mtoto walikuwa na jina moja, Baba akang'ang'ania Ile cheque na kudai ni yake, mtoto akamuuliza Baba kwa kipi ilichokifanya hadi upate hiyo cheque? Baba akaona isiwe shida akamtwanga risasi mwanae hiyo nyingine labda ilikuwa ni baba kukwepa Sheria isimtie hatiani, ukweli ndio huo.
 
Back
Top Bottom