Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Issue ya kuua unamtegeshea mtu si lazima uweke sumu utakuwa mtuhumiwa wa kwanza
 
Tatiana Pereira hakustahili adhabu hiyo kwa kosa lake ingawa uhai ni haki ya kila mtu na hatustahili kwa namna yoyote ile kutoa uhai wa mtu
 
Nasikia Jamaa mmoja aliuliwa na Baba yake baada ya kutumia vifaa vya Kanisa kuimbia wimbo wa Sexual healing (sina ukweli wa story hii?

Nashukuru kuona kuna wazazi bado wako vizuri
 
vipi unamtetea kijana na wewe ni wale kina James delicious
Nimesema kijana akapumzike kwa amani ndoto na maisha yake yamekatishwa bila ya yeye kuwa na hatia yoyote.
Huyo mama yake ni muuaji tu kama wauwaji wengine na ingebidi ANYONGWE HADI KUFA!
 
Cecero

Huoni aibu na ni ujinga huo wa kutetea ushoga?... mahakama badala imfunge miezi kadhaa kupotezea tu eti miaka 24! Poor court.

Safi sana mama kwa kufanya maamuzi ya kimama mzazi
Anastahili kunyongwa hadi kufa huyo mama au kupigwa sindano ya sumu kali
 
kwa hiyo wazazi wote walio na wasenge wawaue watoto wao? Ni Janga sana hili
 
Leviticus 20:13: If a man lies with a male as with a woman, both of them have committed an abomination; they shall be put to death; their blood is upon them.
Dhambi za kuuliwa zipo nyingi tu kwenye agano la kale ikiwemo uzinzi.
LEVITICUS 20:10 “If a man commits adultery with his neighbor’s wife, both the man and the woman who have committed adultery must be put to death."......sijawaona mkiua hawa watu pia.....Au mnachagua vifungu na vifungu kwenye Biblia?
 
Back
Top Bottom