Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Jana na juzi nimekuwa nikifatilia Habari za Rais aliyesimamishwa kazi dilma Rusolf , Hakika lile baraza la Senate sijaona mtu mweusi hata mmoja
Kitu kingine ni huyu interm present, Rais wa Muda ametangaza baraza Lake jipya la mawaziri ila bahat mbaya hakuna negro hata mmoja,
Mimi bnafs nilisikitika kiukweli, maana mimi nimeifahamu Brazil kupitia soka /football na timu Yao ya Taifa asilimia zaid ya 55 wanakuaga negros
Sasa kinachokufanya wasijumuishwe kwenye uongozi wa kisiasa nini au watu weus wa Brazil hawapo interested na politics?
Hii imekaaje wakuu
Km kila kabila wakitoa waziri basis tungekuwa na mawaziri ma manaib zaid ya 250,so usifananishe ubaguzi wa Brazil na uliopo TZHata Tanzania kuna ubaguzi pia. Baraza la mawaziri la Magufuli sioni mchaga hata mmoja. Pia wahindi wengi ndio matajiri wakati weusi wanasukuma mikokoteni na wauza mitumba. Pia wahindi hawakuozeshi mtoto wao golo,ubaguzi upo kila kona ya dunia. Hebu nenda Bangladesh halafu lete mrejesho wako.
Ubaguzi ni ubaguzi tu.Km kila kabila wakitoa waziri basis tungekuwa na mawaziri ma manaib zaid ya 250,so usifananishe ubaguzi wa Brazil na uliopo TZ
Jana na juzi nimekuwa nikifatilia Habari za Rais aliyesimamishwa kazi dilma Rudolf, Hakika lile baraza la Senate sijaona mtu mweusi hata mmoja
Kitu kingine ni huyu interm present, Rais wa Muda ametangaza baraza Lake jipya la mawaziri ila bahat mbaya hakuna negro hata mmoja,
Mimi bnafs nilisikitika kiukweli, maana mimi nimeifahamu Brazil kupitia soka /football na timu Yao ya Taifa asilimia zaid ya 55 wanakuaga negros
Sasa kinachokufanya wasijumuishwe kwenye uongozi wa kisiasa nini au watu weus wa Brazil hawapo interested na politics?
Hii imekaaje wakuu
40% ya wabrazil ni weusi
Hata Tanzania kuna ubaguzi pia. Baraza la mawaziri la Magufuli sioni mchaga hata mmoja. Pia wahindi wengi ndio matajiri wakati weusi wanasukuma mikokoteni na wauza mitumba. Pia wahindi hawakuozeshi mtoto wao golo,ubaguzi upo kila kona ya dunia. Hebu nenda Bangladesh halafu lete mrejesho wako.
Hivi kuna wapinzani au Watanzania? Huu ndio huo ubaguzi huwezi kumuweka mtu mwengine awe kiongozi sababu mpinzani.Hakuna mbunge wa CCM mchaga sasa achague kutoka wapinzani
Hiyo haiwezi kuwa kikwazo mkuu kwenye medan za siasa ukizingatia Brazil katiba Yao ni bora kabisaAsilimia kubwa ya uchumi wao pia wameshikilia hao kina kaka`
Bangladesh kuna nini mkuuHata Tanzania kuna ubaguzi pia. Baraza la mawaziri la Magufuli sioni mchaga hata mmoja. Pia wahindi wengi ndio matajiri wakati weusi wanasukuma mikokoteni na wauza mitumba. Pia wahindi hawakuozeshi mtoto wao golo,ubaguzi upo kila kona ya dunia. Hebu nenda Bangladesh halafu lete mrejesho wako.
Nakuona kwenye avatar unamtumbua mtu teh tehHivi lazima mchaga awe waziri :tatizo wengi ni wezi mgonja:mramba:yona:mbowe .mama ana