Sasa nimeweza kuanza kuunganisha dots, yaani kumbe ni Zinduna Talk Show ndio ilikufanya uhangaike na kumchimba hivi mshkaji wangu?
Ntaliombea ufafanuzi hili kwa Zinduna, ikibidi wewe ndio ufanyiwe usahili badala ya Erick, usije ukamfanyia makubwa zaidi.
Kaka Mtambuzi najua stori zako nyingi zinakuhusu wewe in real life..ila usijali ndo maisha..haushukuru Mungu lara 1 alikukimbia saivi uko na Mama Ngina!??
nani mwingine mwenye ugonjwa wa hawa viumbe kama Erickb52? atakuwa ni uyo jamaa maana mwanza nako alijikweza sana yakampata ya kumpata awashukuru charminglady na Elizabeth Dominic kwa kumuwekea dhamana, nahisi hatakanyaga tena mwanza
Mtambuzi nilikuwa kwenye maombolezo aisee yan hata hayo makitu sikuwa nayakumbuka kabisaaaa!
Sasa kwa habari hii nakumbuka kabisa na mimi ni yule aliyekuwa na huyo binti....na huyo binti nilimvisha pete kweli tena wakati ule nilimpatia pete ya Gold ya Tsh 120000 niliyoinunua Durban ambako ndiko nilikutana na huyo binti kabla hatujarudi Dar!
Mzee Mtambuzi una kummbukumbu sana na umenifanya nimkumbuke sana huyo binti coz hata mimi pia niliachana nae coz wazee walimkataa kuwa anapenda sana pesa na atanisumbua sana!
Ila kwa sasa yuko Nairobi ambako ameolewa na Mzungu mmoja toka South Africa.
Mh yule jamaa nilimtesa sana ila sikujua kama yule binti alikuwa na mtu....alinidanganya yuko single!
Anyway hayo ni mambo ya miaka ya 90 sitaki kuyakumbuka!
Nimejituliza kwa Kasuku wangu (...........)
nani mwingine mwenye ugonjwa wa hawa viumbe kama Erickb52? atakuwa ni uyo jamaa maana mwanza nako alijikweza sana yakampata ya kumpata awashukuru charminglady na Elizabeth Dominic kwa kumuwekea dhamana, nahisi hatakanyaga tena mwanza
Mzee Mtambuzi anakumbuka ila hakujua kama mi ndiye nilikuwa na yule binti.... Mr Rocky nilimpenda sana yule dada ila sema alibadilika akawa pasua kichwa sana aisee na alinifanya nikapoteza mwelekeo kabisa