BADILI TABIA - We nawe vipi, mi nilifanya fumbo halafu weye unafumbua.............steers oye!
ukileta zako huku nakugeuka mbayaMkuu vita yangu huiwezi maana nikikuundia zengwe na ukijaribu kujibu mapigo utakutana na ngome yangu ikiongozwa na Madame B, cacico, Ciello, charminglady, marejesho, snowhite, nivea, kisukari, @FP, gfsonwin, Mwanangu King'asti, Binti yangu MwanajamiiOne, Zinduna, lara 1, MadameX, Kipipi, Preta, Erotica na warembo wengine watakushukia mithili ya mwewe akiwania vifaranga......................LOL
Mkuu vita yangu huiwezi maana nikikuundia zengwe na ukijaribu kujibu mapigo utakutana na ngome yangu ikiongozwa na Madame B, cacico, Ciello, charminglady, marejesho, snowhite, nivea, kisukari, @FP, gfsonwin, Mwanangu King'asti, Binti yangu MwanajamiiOne, Zinduna, lara 1, MadameX, Kipipi, Preta, Erotica na warembo wengine watakushukia mithili ya mwewe akiwania vifaranga......................LOL

BADILI TABIA - We nawe vipi, mi nilifanya fumbo halafu weye unafumbua.............
Nini sasa kuweka matangazo ya Biashara hapa MMU, hujui Invizibo akiona huu uzi wangu atanipiga faini kwa kuweka matangazo ya biashara na ndio maana nikafumbia.........LOL
mkuu vita yangu huiwezi maana nikikuundia zengwe na ukijaribu kujibu mapigo utakutana na ngome yangu ikiongozwa na madame b, cacico, ciello, charminglady, marejesho, snowhite, nivea, kisukari, @fp, gfsonwin, mwanangu king'asti, binti yangu mwanajamiione, zinduna, lara 1, madamex, kipipi, preta, erotica na warembo wengine watakushukia mithili ya mwewe akiwania vifaranga......................lol
Shiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dena Amsi - We nawe, hivi unadhani mjini ndio Kariakoo!Kwa kweli hapa BADILI TABIA kaharibu sie tumechuna.................halafu Mtambuzi pale ni City Garden bana sio Steers
watu wengine nuksi kweli, mtu usipo kuwa na moyo wa subira unawza kupata kesi hivihivi
AHAHAHHAHAHHAHAHHAHA!haya bana!umenigeuzia kibao sio?
AHAHAHHAHAHHAHAHHAHA!haya bana!umenigeuzia kibao sio?
mi mzima my dear!nipo na mijikazi kwahiyo ujanja wa kuingia uwanja wa nyumbani ni mpka jioni!au usiku
hataona!angalia usinimiss sana!manake mie namisika vibaya ujue oh!
Dena Amsi - We nawe, hivi unadhani mjini ndio Kariakoo!
Huo mghahawa wa naniliu ulioutaja uko mkabala na jengo na NPF mahali lilipo duka la viwalo la Wool Worth
Huo mghahawa wa naniliu palipotokea tafrani kati ya Erickb52 na yule kidosho tena nina wasiwasi sana yaweza kuwa alikuwa ni lara 1, bado najaribu kuzidadavua kumbukumbu zangu, ndio pako mkabala na British Council