Ah sasa wabongo mmezidi jamani hata jina la sehemu mnalibadili kisa linataja maumbile yetu???
Pale ni M.A.T.A.K.O Bar bwana hebu jembe liitwe jembe wajameni....
Afu hii sred imekaa kiugomvi kabisaaa
Natamani niwe @Eirickb52, au sijui ninunue ugomvi?
Mambo gani ya kukumbushana machungu haya we jamaa!
LiverpoolFC kumbe mpo wengi masharo wa arusha mnaofanya vituko eeehh Erickb52 na Arushaone yashawakuta kama haya na wana simulizi nyingi tuu na ndo maana huwezi wasikia wameenda dar sana sana wanaishia mwanza au moro au dodoma
Ah sasa wabongo mmezidi jamani hata jina la sehemu mnalibadili kisa linataja maumbile yetu???
Pale ni M.A.T.A.K.O Bar bwana hebu jembe liitwe jembe wajameni....
Afu hii sred imekaa kiugomvi kabisaaa
Natamani niwe @Eirickb52, au sijui ninunue ugomvi?
Mambo gani ya kukumbushana machungu haya we jamaa!
na msichana mmoja mrembo wa kuvutia hasa na mwenye umbo la kibantu lakini lisilochusha . Alikuwa amejaaliwa kijikalio cha kiushikaji na nyonga iliyokatika na kutenganisha eneo la juu na la chini kwa uwiano wenye kuvutia, alikuwa na kifua kipana kilichobeba matiti makubwa kiasi. Chini alikuwa amebeba miguu iliyoendana na umbo lake. Kwa kweli alikuwa ni binti mzuri na anayetamanisha hasa.
..LOL
Confirmed muhusika ni jouneGwalu. Mtambuzi upoooooooooooo
na msichana mmoja mrembo wa kuvutia hasa na mwenye umbo la kibantu lakini lisilochusha . Alikuwa amejaaliwa kijikalio cha kiushikaji na nyonga iliyokatika na kutenganisha eneo la juu na la chini kwa uwiano wenye kuvutia, alikuwa na kifua kipana kilichobeba matiti makubwa kiasi. Chini alikuwa amebeba miguu iliyoendana na umbo lake. Kwa kweli alikuwa ni binti mzuri na anayetamanisha hasa.
Hapa ndio ulipoteza u-serious, umetumia nguvu nyingi sana kuelezea kazi ya uumbaji wa mwenyezi, hii imepelekea baadhi yetu kuanza kuamini kuwa kuja kwako kumchamfua Erickb52 hapa kumechangiwa na kusukumwa zaidi na "bora tukose wote"
Na ndio maana umefurahia kuumbuka kwa kijana wa watu na mwisho umemalizia na cheko!
usije ukanunua ugomvi ambao huuwezi mkuu jouneGwalu
Erickb52 yalimkuta haya na aliipta pata huko dar na ndo maana hathubutu kukanyaga huko we mwache aiskumbushiwe machungu yake
Hah hah hah hah haaa! Udaku tu!
Umehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?
Hivi unamjua Mtambuzi kweli?
We fuatilia hii sred mpaka mwisho utaona atakavyouza utu kwa bei chee, inawzekana kijana wangu alighafirika baada ya kunyang'anywa tonge ila nina uhakika hiyo hujuma aliipanga huyu huyu mleta taarifa.
Wewe Mzee nini mbona umeshupalia namna hiyo?? Halafu hii kitu mbona inafanana na ile uliyonisimuli kisa cha wewe kuhamia Arusha??!! Mr Rocky kukasirika mwiko katika hii post pulizi
jouneGwalu huku ni nyumbani aiseUmehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?

Aisee Filipo.....
Habar ya.... habari yako mzee,
Hivii kwan-ni siku zile ulivyoondoka ndio vipi hukunia... hukuniaga mzee wanguu.... Mimi nipo bana , najarbu jarbu misheni town na kupiga longo.. lo, longo longo hapa JF mzee wangu...................
Dena Amsi ile si ilikuwa siri yako na nilikuambia wewe tuu mbona unaileta chit chat sasa mpaka akina jouneGwalu na Mtambuzi na Filipo na CHARMinglady na sweetlady na FirstLady1 na Erickb52 na Arushaone wapate la kuongea aise
OMG!! Haya mambo bana yaani nimesahau.....................

jouneGwalu huku ni nyumbani aise
Niaje mkuu mzima wewe
achana na Mtambuzi ana mambo yake yasiyo ya kawaida anaweza kuuundia zwenge mpaka uhame jf aise
Dena Amsi umeharibu sasa aise Erickb52 akitoka huko anakuja kuharibu full na mwenzake ArushaoneDena Amsi ile si ilikuwa siri yako na nilikuambia wewe tuu mbona unaileta chit chat sasa mpaka akina jouneGwalu na Mtambuzi na Filipo na CHARMinglady na sweetlady na FirstLady1 na Erickb52 na Arushaone wapate la kuongea aise