donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Star Niko site....
Tomb.waHiyo nyumba ya mmeo?? Maana unamajungu nahisi ww ni ke..
Shukuru sio kila anaelewa kapenda
Tupambane hela yote mkuuHongera sana mkuu.
Mkuu nirushie ramani pm. Tafadhali sabaStar Niko site....View attachment 1148342
Mtani We jikaushe tu. 😅😅😅😅Mkuu nirushie ramani pm. Tafadhali saba
Hahaha kws navyokujua hapo hadi naniliu ishaloa...Hongera sana mkuu.
Haya.Hahaha kws navyokujua hapo hadi naniliu ishaloa...
Twende churchHaya.
Hizi nazo ni neema za Allah kama zie neema zingine ujue😃
Wasalimie.Twende church
Umefanya nicheke Ses. 😀😀😀 hivyo ni sawa kuturingishia.Hizi nazo ni neema za Allah kama zie neema zingine ujue😃
Kwani serikali inakataza kupita kwenye site za watu ukapiga picha halafu ukairusha mitandaoni?Umefanya nicheke Ses. 😀😀😀 hivyo ni sawa kuturingishia.