Bravo Joyce Ndalichako

Bravo Joyce Ndalichako

Salaam wana jamii,

Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani.

Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.

Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu

Kama suala la kuvuja mitihani lipo wazi hivyo anajitia kitanzi kwa vile ndiye mwenye dhamani na taasisi hiyo, nawajibika kuthibiti hayo hiyo. Hakuna mwenye jukumu la kuthibiti hali hiyo isipokuwa taasisi yake na yeye akiwa ndiye mshika usukani.
 
Yaani mimi ninavyompenda Joyce, angekuwa single ningekula naye sahani moja. Hawa ndio akina mama tunaowataka. Hata hivyo, nitafuatilia yule binti yake aliyesoma Kifungilo aolewe na mwanangu.
 
upuuzi mtupu. hapa naona
nipite tu bila kueleza mengi. HUYU MAMA AJIUZULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
sababu nyingi tulizitoa kipindi tunajadili kufeli kwa wanafunzi wa form
4

yeye ndo anayewafundisha?
 
upuuzi mtupu. hapa naona nipite tu bila kueleza mengi. HUYU MAMA AJIUZULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU. sababu nyingi tulizitoa kipindi tunajadili kufeli kwa wanafunzi wa form 4

Wale wale...
 
Tunataka mkurugenzi wa NECTA awe Muisilamu, ili watoto wetu waisilamu nao watese kwenye mitahani forms 2 na 4

Kwa kuwa bosi akiwa muislamu atachakachua ili wanafunzi wafaulu wengi... Simple mind!
 
Salaam wana jamii,

Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani.

Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.

Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu

Jiulize kwanza wakati hiyo mitihani ikizagaa hovyo mitaani katibu wa baraza alikuwa nani na sasa hivi katibu wa baraza ni nani. Kama ni mtu huyo huyo; basi kuna tatizo, tena kubwa kuliko unavyofikiri.
 
Back
Top Bottom