Brand new single door fridge

Brand new single door fridge

WnTElectronics

Senior Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
130
Reaction score
7
A samsung bachelor single door fridge available for only 580,000 with 2yrs warrant. Delivery its done as soon you press your order. cont:0718 268969.

attachment.php
 
Attachments

  • 1392969021450.jpg
    1392969021450.jpg
    39.6 KB · Views: 407
Mnauzaje solar panels with all accessories na installation zenye uwezo wa ku convey umeme wa selfcontained house ya vyumba vinne vya kulala na vifaa vya umeme vingi ikiwemo dry-cleaner.

Kwa kifupi nyumba inayotumia units kumi kwa wiki.
 
Mkuu kama unahitaji solar kuna jamaa mmoja alinifanyia istallaion na vifaa anauza pale kariakoo ndiyo mtu naona yupo cheap na kazi bora kama upo serious ni pm nikupe mawasiliano yake.
 
Mkuu tunaanza na window shopping kwanza swala la kupanda kwa umeme na gas linachosha sana ndo najipanga nikate mzizi wa fitina na tanesco pamoja na ewura kwa hii visibility study.

Sio mbaya ukaweka total costs kwa faida ya wengi Kurunzi.
 
Last edited by a moderator:

Please naomba mawasiliano ya hawa jamaa. Sasa hivi TANESCO ni janga...
 
Mkuu tunaanza na window shopping kwanza swala la kupanda kwa umeme na gas linachosha sana ndo najipanga nikate mzizi wa fitina na tanesco pamoja na ewura kwa hii visibility study.

Sio mbaya ukaweka total costs kwa faida ya wengi Kurunzi.

Mkuu sitoweza kukupa bei kwani lazima ukae na nafundi mkubaliane unataka nini na ni hasa wapigie 0717442148
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom