Skata mtataJr
Member
- Feb 10, 2017
- 22
- 26
Jaribu kupiga hesabu vizuri mkuu halafu urudi tena
Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi [emoji4] [emoji4] "Jibu jepesi sana. Amepata hasara ya Tsh 10,000.
C.
Hapana. Kumbuka kabla Elfu 10,000 haijajulikana feki aliyekuwa amekula hasara ni Jirani. Kala hasara ya 10,000 feki.Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi [emoji4] [emoji4] "
Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi [emoji4] [emoji4] "
CChangamsha bongo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
[emoji124][emoji124][emoji124]
Ukimrudishia jirani elfu 10 yake hali inakua imerudi kama mwanzo ulipopokea hiyo elfu 10 feki....Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi [emoji4] [emoji4] "