Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,457
- 28,348
Hivi karibuni imeingia challenge maalum ya AI inayobadilisha picha yako ionekane kama ya miaka ya 1980
Inaweza kuitwa “AI 80s Challenge" au “1980s AI Photo Challenge
Upumbavu mtupu huko WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii sio madingi, mamaza sio majanja wote ni 80s challenge
Aibu utaona wewe kmmmk!