BP wanauza mafuta km kawaida... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BP wanauza mafuta km kawaida...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Manyema, Aug 17, 2011.

1. M

Manyema JF-Expert Member

#1
Aug 17, 2011
Joined: Sep 2, 2010
Messages: 217
Likes Received: 90
Trophy Points: 45
Wakuu nimepita maeneo ya ubungo external hapa kuna sheli ya BP nimeshangaa nikiona wanauza mafuta kwny magari kama kawaida..nikajiuliza kuwa ile adhabu yao ya kutouza mafuta kwa miezi mitatu imeshaisha au imekuwa vp, some how confused.! Naomba kuwasilisha..

2. suleym

suleym JF-Expert Member

#2
Aug 17, 2011
Joined: Sep 21, 2010
Messages: 1,717
Likes Received: 138
Trophy Points: 160
ilishaisha ilikuwa ya siku tatu sio miezi 3 ewura waliteleza ulimi!

3. M

Mfwalamanyambi JF-Expert Member

#3
Aug 17, 2011
Joined: Dec 18, 2010
Messages: 434
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Pole sana kwa kuamini adhabu zinazotangazwa na serikali yetu dhidi ya matajiri. Umesahau kuwa tunaongozwa na serikali LEGELEGE?

4. C

Chumvi1 Senior Member

#4
Aug 17, 2011
Joined: Oct 10, 2010
Messages: 137
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
wameruhusiwa kuuza mafuta kwa kununua kutoka kwenye makampuni mengine lakini si BP yao. kwa hiyo BP watakuwa hawauzi unleaded.Ila sidhani kama BP wenyewe wanakubaliana na hili kuuza mafuta ya makampuni mengine.

5. zomba

zomba JF-Expert Member

#5
Aug 17, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Wengine huwa mnakurupuka tu. Serikali wana hisa 50% BP.

6. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#6
Aug 17, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Kwahiyo umekuja kuwashtaki JF au?

7. Nduka Original

Nduka Original JF-Expert Member

#7
Aug 17, 2011
Joined: Aug 3, 2011
Messages: 753
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
BP imeuza reserve yake yote kwa GAPCO na ikawapa instructions clients wake wanunue huko.

8. Shine

Shine JF-Expert Member

#8
Aug 17, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

kuwa na 50% ndio watutangazie wamewazuia kumbe sio uo ndio ulegelege wenyewe sasa acha kubaka mijadala wewe

9. Shine

Shine JF-Expert Member

#9
Aug 17, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Nani kakuambia JF ni mahakama?mwenzio anataka kujua adhabu ishaisha au serikali yetu inaendelea kutudanganya

10. Shine

Shine JF-Expert Member

#10
Aug 17, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
JK na serikali yako legelege mmeshinda ushindi wetu kama raia tutautangaza mwaka 2015

11. M

Mbalamwezi JF-Expert Member

#11
Aug 17, 2011
Joined: Sep 30, 2007
Messages: 803
Likes Received: 37
Trophy Points: 45

Jamani tusiwe wavivu kukumbuka, baadhi ya vituo vya kampuni hizi zinatumia tu nembo lakini vinamilikiwa na watu binafsi na EWURA ilishasema hivyo vitaendelea kutoa huduma, mara hii tumesahau?

12. B

Baikoko Senior Member

#12
Aug 17, 2011
Joined: Oct 11, 2010
Messages: 108
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Napita tu hapa...Maisha ya panadol kila siku kisa EWURA siyawezi.....

13. Tuyuku

Tuyuku JF-Expert Member

#13
Aug 18, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 3,149
Likes Received: 1,407
Trophy Points: 280
mie mwenyewe jana nimejaza mafuta BP

14. M

Mbopo JF-Expert Member

#14
Aug 18, 2011
Joined: Jan 29, 2008
Messages: 2,532
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Hivi hujui kwamba leseni liyositishwa ni ile ya uuzaji wa jumla. Wale wa rejareja wanaendelea kama kawaida.

15. Shark

Shark JF-Expert Member

#15
Aug 18, 2011
Joined: Jan 25, 2010
Messages: 20,134
Likes Received: 7,390
Trophy Points: 280
Kwa lugha rahisi BP anaviuzia vituo vyake kupitia GAPCO

Loading...