Boyz II Men to Entertain Kikwete?


Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
On December 13, 2007, the Leon H. Sullivan Foundation will host its biennial

Sullivan Summit Awards Dinner.

The Dinner will feature notable guest speakers who share an international following, including our own Chairman Ambassador Andrew Young, President & CEO, Emeritus, and Dinner Chair, Mrs. Hope Masters and current President & CEO Ambassador Howard Jeter.

We will shed accolades upon our chosen honorees in the following selected areas:
Bridge-Builder Award
Special Service Award
Government Service Award
and OICA Legacy Award

Finally, President Jakaya Kikwete will formally announce Tanzania's hosting of the Eighth Sullivan Summit in Arusha, Tanzania, June 2-6, 2008.

Don't miss this event! Special guests, Boyz II Men, will be on hand to perform for the evening's entertainment.

Please RSVP.

For Sponsorship information, please click here.

General Information:

Where: Marriott Wardman Park Hotel, Washington, D.C.

When: December 13, 2007

Time: 6PM Reception, 7PM Dinner
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,977
Likes
46,663
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,977 46,663 280
Hahahahaha....hata mimi niliiona hiyo nikacheka.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
sijui kama ni kweli au somebody is trying to be funny and ironic..
 
Mwawado

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Likes
36
Points
35
Mwawado

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 36 35
sijui kama ni kweli au somebody is trying to be funny and ironic..
Mkuu Habari hiyo ina ukweli,na kama Tangazo lilivyo Watanzania wote wanaalikwa kwenye Hafla hiyo ambayo itakuwa na kiingilio,na kama unataka ku-sponsor pia unaweza kuwasiliana na Hao jamaa wa Sullivan na haswa kwa kuwasiliana na Controller MS.Ann Graham kwa simu (202)736 2239 na pia unaweza kuwasiliana na Yasin Nyaghawa kwa simu (240)338 4917,(240) 601 8094,(301) 379 0693.

Kama Tangazo lilivyo,Hafla itakuwa siku ya Alhamis - Dec/13/07 na Baadhi ya Dignitaries watakaokuwepo ni Naibu katibu Mkuu wa UN,Dr Asha Rose Migiro,Balozi Andrew Young,Balozi Amina Salum Ali,Balozi Salim Ahmed Salim,Dr.Mahiga na Balozi Ombeni Sefue.

Kwa habari kamili wasiliana na
SULLIVAN FOUNDATION,
1800 K Street,NW Suite 1021,
WASHINGTON DC. 20006

Kwa kupata schedule kamili tembelea www.thesullivanfoundation.org.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
Asante kaka..
 
K

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2007
Messages
980
Likes
33
Points
145
K

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2007
980 33 145
vipi hatakuwa na nafasi yakuonana na siye pangupakavu,kuna habari yoyote juu ya hili.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
Ndugu yangu, Rais ni mtu ambaye yuko busy sana na hasa anapokuja kwenye masuala muhimu kama haya ya kutangaza ujio wa Sullivan Summit mbele ya Boys II Men, hivyo sidhani kama sisi wa kina "kakamiye" tutakuwa na nafasi yoyote ya kukutana na el Commandante
 
longi mapexa

longi mapexa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Messages
2,074
Likes
1,404
Points
280
Age
19
longi mapexa

longi mapexa

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2015
2,074 1,404 280
still searching evidence for the death of mwalimu and its connection with the secret code name @boyziimen
 

Forum statistics

Threads 1,238,925
Members 476,277
Posts 29,336,972