Boyz ii men- Doin just fine

Boyz ii men- Doin just fine

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Wapenzi wa rnb Leo nilikuwa nikiangalia bahadhi ya tracks za zamani za rnb. Sasa nilipokuwa naangalia hii track ya Boyz ii men hasa sehemu aliyoimba Wanya kuanzia dakika ya 3:25, si kwamba nilivutiwa na huimbaji wake Bali kilichonivutia zaidi ni jinsi anavyoimba kwa hisia za juu kana kwamba ana maumivu makali ya kuachwa na mpenzi wake. Hebu nawe anglia hii track kwa makini then utajua ya kuwa kuna watu wana vipaji vya hali ya juu kwenye uimbaji na wanachoimba ni kama wanakimaanisha.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom