Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Umeniwahi
Sio wanaume tu
Nina rafiki zangu wawili ni wachafu wa mazingira balaa, wanaoga wanavaa wanapendeza nje utasema wanaishi masaki!! Ukiingia room kwao aisee, nguo zimejaa kabatini zimerundikana mpaka zimemwagika chini yani ukiingia unakanyaga nguo , kitanda shuka halijulikani hapajatandikwa pana mwezi shuka chafuu! Madirisha machafu kajaza chupi! Vipodozi vingine vipo kwenye dressing table ina vumbi mno halafu vimefunguliwa havijafungwa viko hovyo hovyo tu! Kama kuna viti vipo vipo tu halafu haoni aibu walaaa, kaamka asubuhi kaswaki, kanywa chai anachati kutwa nzima anashindwa hata kufanya usafi!![emoji22] juu ya neti kumejazwa nguo chafu

Wapo aisee kuna mmmoja alikuja kwangu hali ya hewa ilibadilika nakuambia baadhi ya
Watu ni wachafu usafi kwao ni tabu
 
Stop justifying bullshit. Mtu mwenye akili timamu hawez kuacha uchafu wake unaelea. Binadamu tumeumbwa na aibu. Hamna aliezaliwa anajua kila kitu. Kama ni mtu mwenye common sense atauliza hawezi kutoka tu hivi hivi akaenda kuangalia tv uchafu wake umebaki hapo. Au unamaanisha watu waliotoka kijijini hawana akili ni mahawayani?? Unaishi na wati wa aina gani dada. I feel pity for you.

Perfectionism ni shida [emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu kwenye mahusiano hayo haipaswi kuishi kwa logic kwenye kila kitu kama ukitaka kufanikiwa na kuwa na mahusiano yenye furaha!

Tunapaswa kujifunza zaidi !
 
Nakubaliana nawe!

Kuna wengine vyoo vya kuflash wamevijua ukubwani baada ya kupata kazi mjini , maisha yake yote hakujaliwa neema ya kuishi na kutumia vyoo vya hivyo.

Alizoea akishajisaidia na kutawaza kamaliza anaondoka,

Sasa siku mojamoja ikitokea kajisahau kusukuma maji basi nasukuma!

Though kweli inachosha lakini ikitokea una flash na kumkumbusha kisha maisha yanaendelea!
Hii ya ku flash choo nilikutana nayo kwa demu flani wa kiarabu mzuri balaa first time nimeenda kupigia hotel si akaingia chooni bwana kashusha mzigo haja flash ile naingia du nakutana na makitu da nili mind kinoma nikaflash nikatoka nje harufu ipungue yani nilishangaa demu mzuri vile hajui ku flash choo aisee.
 
Hii ya ku flash choo nilikutana nayo kwa demu flani wa kiarabu mzuri balaa first time nimeenda kupigia hotel si akaingia chooni bwana kashusha mzigo haja flash ile naingia du nakutana na makitu da nili mind kinoma nikaflash nikatoka nje harufu ipungue yani nilishangaa demu mzuri vile hajui ku flash choo aisee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko dem nae ana ghetto lake akija kwangu anakuta chupa km 10 zimejaa anatoa moja baada nyingine anasafisha ghetto linakuwa saaaafi huyu dem nnae hadi leo na amenpa mtoto, nkapataga dem mwingine wkt naishi ghetto nae nkamuambukiza sbb akawa mlevi km tunanunua wine tunajifungia ghetto tunaweka ndoo mlangoni ya kukojolea, huyu nae hadi leo nnae na amenipa mtoto.
Sasa hivi nina huyu watatu ni msafi sijawahi ona, kila bao lazima aingie bafuni kujisafi ananukia muda wote, baada ya tendo hakuruhusu hadi uoge lkn mi naondoka ivoivo, sivaagi mkanda na soksi ananinunulia soksi na mikanda kila siku, sinunuagi nguo mpya hadi aninunulie yeye. Boxer ndo huwa najali, japo mvivu wa kufua huwa navaa ikichafuka nabadili huwa sifui nanunua nyingine hizi za bei chee.
Akiingia kwenye gari anasema sana gari chafu km ya mzee mi sijali. Mi ni mchafu lkn napendwa hivyohivyo wote hao watatu wanataka ndoa, hizi mvuamvua leo sijaoga siku ya 3 tangu niduu juzi sijaoga! Maisha yanaenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ebwana ndio
 
Tumeumbiwa uchafu ndo uwanaume huo
Ila Mimi msafi aisee mashuka yangu meupe nalalia siku tatu itabidi niwe mchafu sasa nisisaliti chama la wana mabaharia nipen wiki ntakuwa mchafu
 
Miaka ya nyuma nilikuwa kama huyo jamaa yako nadhan kitu kilicho changia sana nikusoma shule za boyz toka o hadi A level kuna maisha nilizoea kuyaishi nikiona nisahihi kumbe nakosea

Chuo nikapanga geto ikawa hivyo hivy nilipata mwanadada mmoja nikadate nae kiukwel alitumia busara kunielewesha na ilifika kipind akija akifanya usafi ananiomba tufanye wote basi na mm nikawa nafanya mpaka nikawa naona ni vitu vya kawaida naweza kusema alinifundisha sana mambo ya kuoga inabid hata ukaoge nae mbembeleze mwambie twende tukaoge hawez kataa tumia uwanamke wako kumconvice naamin atabadilika
Kwa hiyo umejua kuoga chuo ?
 
Hahaha simaanishi usafi uzidi hapana. Zile normal ettiques kama kutoa sahani ukila, kutupa uchafu kwenye Dustin, yani vile vitu vya kawaida navyo ni tatizo.
Achana nae uyo mana iyo ndo tabia yake ata kama atakuowa atakusumbua tu ndo wale unakunja nguo yy anakuja kuzimwaga zote kisa anatafuta shart sasa ata sahani aliokula anashindwa kutoa mmh
 
Kamsemee kwa wazazi wake. Maana huko ndio shida ilikoanzia.
 
Back
Top Bottom