and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Mnavyottiana ni sahihi?Mwanzo wa mahusiano alikua analazimisha tuishi pamoja. Nilikataa kwasababu sio jambo sahihi kwangu. Sahivi ndo namuelewa 😂

Kuamini au kutoamini niachie mimi mwenyewe. Muhimu ni kueleza shughuli anayojishughulisha nayo pengine inaweza ikawa ni msaada kwa tatizo lililokukumba.You won't believe it if I tell you.
Mkuu nje ya mada kidogoMaisha yana mambo mengi sana!
Lakini wajuvi wanakwambia maisha ni 10% ya kile kinachotokea lakini 90 % ni ya vile utakavyo yachukulia!
Sasa kumbe mleta mada wewe kuishi na mama mkwe toka kijijini ndo hutaweza kabisa!
Kama mwanaume anaekupa Raha na kukutunza ni hivyo Je mama yake mzazi utaweza kustahimili?
Mfano mama mkwe katoka kijijini hajawahi kutumia choo cha kuvuta maji,
Anakuja kwenu na mwanaume wako kila akienda chooni ananawa anaacha kama vilivyo [emoji108][emoji108] nyie ndo mjipange kila akitoka muwahi kwenda ku flash!
Je utaweza kuishi na mama mkwe au baba mkwe wa hivyo?
Au ndo utaanza kumtia ila na kumuanzishia zengwe aondoke?
ninajamaa uyo alikua hafui boxer nilikua nae geto moko nikamshauri usivae achana nazo hadi saiv hana boxer yoyote anapiga bukta ya mpira tu
kama na we una vaa wig bc huna tofauti nae
Hongera mkuu...una busara sana
Tatizo wanawake wa sasa ukiwaambia utii hawataki.Nanyenyekea [emoji119]
Lakini haikuwa rahisi , ni kwa kukubali na kuwa tayari kujifunza mapya kila siku, kabla ya hapo nilikuwa mtu wa kuishi kwa logic na kuhoji hoji mambo kadha wa kadha, wakati mwingine unaishia kuona makwazo tu kila wakati lakini kumbe nilikuwa niko kwenye ujinga fulani,
Kwa Neema ya Mwenyezi aLMungu nilipokubali kujifunza nikaanza kupata maarifa, na hata sasa naendelea kujifunza!
Yani nimeanza kuwafahamu wanaume walau kwa sehemu,
Nimejifunza kupuuza baadhi ya mambo nikipima nakuona hayana madhara ktk kuyapuuza,
Nimejifunza kuahirisha mambo ambayo yanaweza kuahirishwa n.k
Naendelea kujifunza kila iitwapo leo!
Huwa nafanya provision huenda kuna mambo muhimu sijayafahamu ipasanyo kuchukuliana nayo, hiyo inabipa utayari wa kujifunza na kubadilika!
Tatizo wanawake wa sasa ukiwaambia utii hawataki.
Wanataka wamkute mwanaume ana kila kitu
Wamkute mwanaume perfect kwenye mambo yake.
Wanafananisha maisha ya movie na uhalisia wa africa.
Though wanaume tuna mapungufu yetu ila wanawake ni zaidi yetu kwenye baadhi ya mambo
Mtu smart haiwezekani ukutane na mtu mchafu ni ngumu huyo ndio size yako.Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.
Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.
Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.
Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Tatizo wanawake wa sasa ukiwaambia utii hawataki.
Wanataka wamkute mwanaume ana kila kitu
Wamkute mwanaume perfect kwenye mambo yake.
Wanafananisha maisha ya movie na uhalisia wa africa.
Though wanaume tuna mapungufu yetu ila wanawake ni zaidi yetu kwenye baadhi ya mambo
Kama umeshindwa kuvumilia hayoNajua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.
Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.
Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.
Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Kweli hapa duniani kuna mwanaume ananuka mbupu ? Kuna vitu mi huwa naona ni uongo ,mara mabinti nao husema sperm hunuka,mi siaminiVipi chumvini kusafi kwali? Au ndio hivyohivyo. Manake huko chini Kuna harufu Sana. Hasa kwenye kengele
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.