Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Eeh kwani kuna mwanamke anamkubaliaga mtu asiejua kujikeep smart kwa mavazi na muonekano!?
Hapo siwezi jua
Wapi watu na masuti yao nje ila majumbani wachafuuu

na wapo vijana hata shati hachomekei yuko smart casual tuu lakini he is the cleanest person u will ever meet
 
Hapo siwezi jua
Wapi watu na masuti yao nje ila majumbani wachafuuu

na wapo vijana hata shati hachomekei yuko smart casual tuu lakini he is the cleanest person u will ever meet
its obvious
 
Mwanaume mchafu anafikirisha sana. Nilishawahi muacha mtu baada ya kwenda kwake na nikaona alivyo mchafu.
Mpaka leo hajawahi kujua kwanini nilimuacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya nimatokeo ya mwanamke mwenzio lakini.!!
Mama anayewalea watoto wake njia sahihi Kuna mambo atawafundisha wakiwa wadogo.
Nimechezea Sana stick sababu ya kutosafisha/kuacha kitanda bila kutandika.
Au kutoondoa vyombo baada ya kula.
Mpaka sasa hg akichelewa huwa natoa mwenyewe vyombo baada ya kula!
 
Mwanaume mchafu anafikirisha sana. Nilishawahi muacha mtu baada ya kwenda kwake na nikaona alivyo mchafu.
Mpaka leo hajawahi kujua kwanini nilimuacha
🤣🤣🤣🤣🤣 Ulimkatili sana lakini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikiri? Kuna siku mwaka fulani nilikuwa na boyfriend huyo siku tukapanga twende Lodge tukaenda vizuri kufika kule sasa yule kijana kabla hajavua nguo nikapata nafasi ya kuona boxa yake, asalaleeeeeeeeee, ilikuwa nyeupe jinsi ilivyo chafu sasa, nikawaza haraka haraka mbinu gani nitumie ili tusishiriki tendo, nikaanza kuigiza ugonjwa.... Jamani niliumwa ghafla akachanganyikiwa, tukatoka fasta kanirudisha alikonitoa
 
Unafikiri? Kuna siku mwaka fulani nilikuwa na boyfriend huyo siku tukapanga twende Lodge tukaenda vizuri kufika kule sasa yule kijana kabla hajavua nguo nikapata nafasi ya kuona boxa yake, asalaleeeeeeeeee, ilikuwa nyeupe jinsi ilivyo chafu sasa, nikawaza haraka haraka mbinu gani nitumie ili tusishiriki tendo, nikaanza kuigiza ugonjwa.... Jamani niliumwa ghafla akachanganyikiwa, tukatoka fasta kanirudisha alikonitoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani yupo kavurugwa na kitu. Hebu kaa nae vizuri, mimi naipitia hali hiyo. Nilikuw msafk mno lakini sasa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nitatuma picha soon ya geto langu. Wife kasafiri toka August
 
Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko dem nae ana ghetto lake akija kwangu anakuta chupa km 10 zimejaa anatoa moja baada nyingine anasafisha ghetto linakuwa saaaafi huyu dem nnae hadi leo na amenpa mtoto, nkapataga dem mwingine wkt naishi ghetto nae nkamuambukiza sbb akawa mlevi km tunanunua wine tunajifungia ghetto tunaweka ndoo mlangoni ya kukojolea, huyu nae hadi leo nnae na amenipa mtoto.
Sasa hivi nina huyu watatu ni msafi sijawahi ona, kila bao lazima aingie bafuni kujisafi ananukia muda wote, baada ya tendo hakuruhusu hadi uoge lkn mi naondoka ivoivo, sivaagi mkanda na soksi ananinunulia soksi na mikanda kila siku, sinunuagi nguo mpya hadi aninunulie yeye. Boxer ndo huwa najali, japo mvivu wa kufua huwa navaa ikichafuka nabadili huwa sifui nanunua nyingine hizi za bei chee.
Akiingia kwenye gari anasema sana gari chafu km ya mzee mi sijali. Mi ni mchafu lkn napendwa hivyohivyo wote hao watatu wanataka ndoa, hizi mvuamvua leo sijaoga siku ya 3 tangu niduu juzi sijaoga! Maisha yanaenda.
 
Nimeandika Uzi wangu nataka mwanaume msafi, wanaume wachafu wamepanick. I swear unaweza pata a life partner anakupenda Ila small habits kama hizi zinakuja kuvunja mahusiano. Wanaume wachafu badilikeni, especially small minded men who think being dirty is manly.
Njoo kwangu
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Hapo kunafumbo. Kabla yakuoa mke wangu alikuwa akipika simuelewi kabisa maana mm nimpishi. Nilichofanya na mm nilikuwa nashukuru alafu napika. Moyon akawa anafanya jitihada zake jikon. Bwana wee sikuhiz mm namvulia kofia yupo vizur mpaka wa mama wenzake wanakuja jifunza kwake. Na mm kama kawa nampa big up. Sasa wewe angalia usije tupa nani na kijit chake. Pia kumbuka ukipenda boga bas penda na ua lake. Unaweza kuwa chanzo cha mabadiliko naakawa msafi pitiliza na akakupenda sana. Jambo wanandoa wengi hawalijuwi nikushindwa kutumia udhaifu wa mwenzake kunogesha ndoa. Sio lazima mke wangu aniandalie chakula mm naweza nika andaa sio lazima mke wangu atoe vyombo mezan one tim natowa mm. Sio lazima anipikie one tm napika nahuwez amin hili limeleta mabadiliko makubwa kwa familia yangu. Shida kubwa vijana wa leo tunalia sana nakutoa siri za ndoa zetu kamwe haziwezi dumu. Ndoa nikama idara ya usalama wa taifa ukishindwa kuweka siri ya ndoa yako imezolewa na maji. Ukitaka ndoa yako iwe imara na watu wawaogope fungeni midomo yenu nakuweni na tabia yakuzungumza kwa siri ndani. Inawezekana hujawahi mwambia huyo mpenz anakukwaza tena wakati anashusha bao la kwanza au wakati ndio anaingiza wanawake mnauwezo mkubwa kufikisha taarifa wakat wakunanii shida mnajiona mmesoma na hamtaki kujuwa elimu dunia... Mtazunguka dunia nzima na kamwe hauwez mpana mwanaume wa aina unaitaka.
 
Nimeandika Uzi wangu nataka mwanaume msafi, wanaume wachafu wamepanick. I swear unaweza pata a life partner anakupenda Ila small habits kama hizi zinakuja kuvunja mahusiano. Wanaume wachafu badilikeni, especially small minded men who think being dirty is manly.
You nailed it.
 
Back
Top Bottom