Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Uchafu ni tabia
Na tabia ni kama ngozi

ni wajibu wa kila mtu kuwa msafi usisubiri kumpa mzigo mwenzi wako aje akubadili

Pia tuko zama ambazo iwapo ubize unakukwamisha unakua na pesa yako unaitisha mtu ama watu nyumbani kukufanyia usafi walau mara 1 au 2 kwa wiki au 3 angekuja mtu akafua akapasi akadeki akapika akasafisha ndani nje nk

mwanaume mchafu ni mzigo ndani ya ndoa hio tabia itazidi hadi choo akitumia hatoflush
Kama utaweza vumilia endeleeni
Ama mtaftie kijana/binti wa kazi aje kila wiki
 
Bi dada amejua kunifurahisha kwa kweli...


Yaani hapa naimagine zile muvi za waarabu wapo ndani alafu bomu imetumwa na wa US ile hali inavyokuwa hahahaha alafu ndio nasikia kuna mtu anaishi kwenye hali ya namna hiyo ...ni hatari.. huyo ni mende sio binadam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwanja wa vita
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Mpe nyuma
 
🤣🤣🤣 uliona wapi mwanamke wa kitanzania anamuwekea boyfriend beki 3 wa kumsafishia magetoni, hebu amka usingizini mkuu hii ni TZ sio India huku🤣🤣🤣
Uchafu ni tabia
Na tabia ni kama ngozi

ni wajibu wa kila mtu kuwa msafi usisubiri kumpa mzigo mwenzi wako aje akubadili

Pia tuko zama ambazo iwapo ubize unakukwamisha unakua na pesa yako unaitisha mtu ama watu nyumbani kukufanyia usafi walau mara 1 au 2 kwa wiki au 3 angekuja mtu akafua akapasi akadeki akapika akasafisha ndani nje nk

mwanaume mchafu ni mzigo ndani ya ndoa hio tabia itazidi hadi choo akitumia hatoflush
Kama utaweza vumilia endeleeni
Ama mtaftie kijana/binti wa kazi aje kila wiki
 
Hahaha simaanishi usafi uzidi hapana. Zile normal ettiques kama kutoa sahani ukila, kutupa uchafu kwenye Dustin, yani vile vitu vya kawaida navyo ni tatizo.
Huyo mjuba ni shigidiii🤣🤣🤣 kwa style hio anaweza kunya hata kwenye mfuko akatupa mavi uvunguni kama choo kipo nje.
 
🤣🤣🤣 uliona wapi mwanamke wa kitanzania anamuwekea boyfriend beki 3 wa kumsafishia magetoni, hebu amka usingizini mkuu hii ni TZ sio India huku🤣🤣🤣
Kijana mwenyewe aweke
Binti atoe ushauri tu
Au umekariri mabachelor wote wako ovyo huko wanakoishi?.
 
Nijuavyo mimi huwezi kupewa vyote, ikiwa ni good guy yatosha, mengine vumilia muda utamtengeneza, hakikisha unambadilisha kwa upendo
Kiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
 
tufanye kampango sasa, mimi ni msafi.

halafu wanaume hatujaumbiwa usafi, embu acha kumsimanga mwenzio.
Nani kasema!!? Jamani Kuna wanaume ni wasafi ukiingia ndani kusafi kunanukia kiasi mood inapanda kabla hujaguswa, vitu vipo kwenye mpangilio wenyewe yaani binti unajikuta unawaza "mmh hapa inabidi niwe makini nisije mharibia huyu mtu usafi wake,"....... Kama umeamua kuwa mchafu ni wewe ila wenzenu wasafi wapo nasisitiza wapo
 
Nina bahati ya kukutana na wanaume smart,yaan wasafiii balaa, yaani mwanaume msafi, sina jeuri kwake coz ndo ugonjwa wangu. Hizo kero nazisikiaga kwa watu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wala si bahati, hio inaitwa choosing wisely. Huezi kuokota jitu rough linavuta masigara na mibange au lilevi utegemee kukuta ni safi...never ever!
 
Back
Top Bottom