LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,367
- 6,487
Hii kiboko.
Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
[emoji28][emoji38][emoji2] sauti iko poa mkuu,Sasa mimi nikupe siri. Kwa asilimia kubwa tuko hivyo. Hilo ni jambo dogo sana,hicho ndio wengi tumekosa, ndio maana mpo wanawake mtusaidie. Vitu kama kufua,kupika,kuosha vyombo ni vitu minor sana kwetu. Kiufupi hatuvizingatii hata kidogo.
I strongly disagree with this statement aisee..Ukisema wenzenu kwani mimi ni mchafu babe?
Wanaume wengi hatujaumbiwa usafi. Amvumilie ambadilishe taratibu. Mimi pia sifurahishwi na watu wachafu.
[emoji23][emoji23][emoji23] mtoa mada eti ndio kama hivi? Kama ni hivi huu sio uchafu bali ni upungufu wa akili
I strongly disagree with this statement aisee..
.."wanaume wengi hatujaumbiwa usafi''...
Nakataa kabisa.
Iko hivi... Kuna kuwa dirty....na kuwa rough..
Most men are rough.. Mtu rough is not necessarily dirty na anarekebishika.
Ila Mtu dirty..typical dirty and filthy or ugly pia yuko rough. Habadiliki na ni vigumu kumvumilia.
Mi sio msafii Sana though najitahidi. Sirudii kuvaa Sox Mara mbili..huwezi kuta mguu wangu unatema. Never.
But I'm sometimes rough. Yani wakati mwingine huwa Nina mpangilio mbovu Wa vitu Ila si vichafu.

@Hazard CFC unaitwa huku.
Papa mobimbaa eeeh 🤣🤣🤣Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko dem nae ana ghetto lake akija kwangu anakuta chupa km 10 zimejaa anatoa moja baada nyingine anasafisha ghetto linakuwa saaaafi huyu dem nnae hadi leo na amenpa mtoto, nkapataga dem mwingine wkt naishi ghetto nae nkamuambukiza sbb akawa mlevi km tunanunua wine tunajifungia ghetto tunaweka ndoo mlangoni ya kukojolea, huyu nae hadi leo nnae na amenipa mtoto.
Sasa hivi nina huyu watatu ni msafi sijawahi ona, kila bao lazima aingie bafuni kujisafi ananukia muda wote, baada ya tendo hakuruhusu hadi uoge lkn mi naondoka ivoivo, sivaagi mkanda na soksi ananinunulia soksi na mikanda kila siku, sinunuagi nguo mpya hadi aninunulie yeye. Boxer ndo huwa najali, japo mvivu wa kufua huwa navaa ikichafuka nabadili huwa sifui nanunua nyingine hizi za bei chee.
Akiingia kwenye gari anasema sana gari chafu km ya mzee mi sijali. Mi ni mchafu lkn napendwa hivyohivyo wote hao watatu wanataka ndoa, hizi mvuamvua leo sijaoga siku ya 3 tangu niduu juzi sijaoga! Maisha yanaenda.
Unafikiri? Kuna siku mwaka fulani nilikuwa na boyfriend huyo siku tukapanga twende Lodge tukaenda vizuri kufika kule sasa yule kijana kabla hajavua nguo nikapata nafasi ya kuona boxa yake, asalaleeeeeeeeee, ilikuwa nyeupe jinsi ilivyo chafu sasa, nikawaza haraka haraka mbinu gani nitumie ili tusishiriki tendo, nikaanza kuigiza ugonjwa.... Jamani niliumwa ghafla akachanganyikiwa, tukatoka fasta kanirudisha alikonitoa
Mkuu roughness is 99.999% dirtiness and in a real civilized world anything that is not in its proper place is dirtiness. The other way of saying this is to say roughness is dirtiness.I strongly disagree with this statement aisee..
.."wanaume wengi hatujaumbiwa usafi''...
Nakataa kabisa.
Iko hivi... Kuna kuwa dirty....na kuwa rough..
Most men are rough.. Mtu rough is not necessarily dirty na anarekebishika.
Ila Mtu dirty..typical dirty and filthy or ugly pia yuko rough. Habadiliki na ni vigumu kumvumilia.
Mi sio msafii Sana though najitahidi. Sirudii kuvaa Sox Mara mbili..huwezi kuta mguu wangu unatema. Never.
But I'm sometimes rough. Yani wakati mwingine huwa Nina mpangilio mbovu Wa vitu Ila si vichafu.
🤣🤣🤣🤣🤣 kuna kadem kangu flani kaongeaji sana, kabla sijaenda kwake akawa ananikazia ati kwake hawafiki watu. Kako smart kwa muonekano ila nikahisi katakuwa kachafu sana.Kuna mdada namjua nilitaka kumtongoza ikabidi niache. Ofisini kwake meza yake akimaliza kula snacks basi kila kitu kitachwa mezani...
Upangiliaji wake wa meza mchafu saana...sijawahi kufika kwake ila nadhani hapaingiliki...siku akawa ananipigia stori za kuachwa achwa na wanaume...nikajua tu huyu kwa huu uchafu nani ataweza kuishi naye.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] uchafu au usafi ni tabia.Kama kashindikana piga chini mama na umwambie kabisa sababu ni uchafu. Huyo ni mchafu tu toka kuzaliwa maana mwanaume smart ukiweka soksi kwenye kiti halafu girl wako akazitoa na kuziweka panapostahili kesho unatakiwa usirudie kuziweka tena hapo ila only mbumbumbu ndo atarudia.
Haswaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maana hilo ni jalala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hapo kwenye kanga na kikoi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna kadem kangu flani kaongeaji sana, kabla sijaenda kwake akawa ananikazia ati kwake hawafiki watu. Kako smart kwa muonekano ila nikahisi katakuwa kachafu sana.
Nikajiuliza sana huyu manzi yeye anajiona nani katika hii maisha hadi baharia nisikanyage kwake. Nikawaza au anafuga mtu nini huko ndani!?
Nikaamua kutumia medani za kisiasa nikatua kwake. Nilipofika sikuamini, demu ni msafi wa mwili na mazingira na anajipenda sijapata kuona. Nikilinganisha na alivyo pini aibu niliona mimi maana hadi kitandani hukalii shuka unatengewa kanga kwanza na mto unawekewa kikoi ili usipakwe mafuta toka kichwani.
Viatu vinakaa nje ili visichafue hali ya hewa na unanawishwa miguu kwanza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka sasa mie ndio nakwepa asije kwangu sasa.
Naomba nisikize kidogo, kamama.Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Ndo umeamua kuja kunianika hapa? Kumbuka ulinipenda na uchafu wangu hivi hivi!Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Sorry mkuu ukweli ni kwamba wewe sio mchafu bali una upungufu wa akili haiwezekani ukojoe kisha uweke mkojo ndani,umeandika siku tatu hujaoga hapo harufu kama mbuzi dume kwa kweli baadhi ya wanawake wana huruma Sana 😃😃Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko dem nae ana ghetto lake akija kwangu anakuta chupa km 10 zimejaa anatoa moja baada nyingine anasafisha ghetto linakuwa saaaafi huyu dem nnae hadi leo na amenpa mtoto, nkapataga dem mwingine wkt naishi ghetto nae nkamuambukiza sbb akawa mlevi km tunanunua wine tunajifungia ghetto tunaweka ndoo mlangoni ya kukojolea, huyu nae hadi leo nnae na amenipa mtoto.
Sasa hivi nina huyu watatu ni msafi sijawahi ona, kila bao lazima aingie bafuni kujisafi ananukia muda wote, baada ya tendo hakuruhusu hadi uoge lkn mi naondoka ivoivo, sivaagi mkanda na soksi ananinunulia soksi na mikanda kila siku, sinunuagi nguo mpya hadi aninunulie yeye. Boxer ndo huwa najali, japo mvivu wa kufua huwa navaa ikichafuka nabadili huwa sifui nanunua nyingine hizi za bei chee.
Akiingia kwenye gari anasema sana gari chafu km ya mzee mi sijali. Mi ni mchafu lkn napendwa hivyohivyo wote hao watatu wanataka ndoa, hizi mvuamvua leo sijaoga siku ya 3 tangu niduu juzi sijaoga! Maisha yanaenda.7