Boxer za kiume safi kabisa mpyaaa

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Boxer za ukweli pamba halisi kutoka uturuki zinazoendana na mazingira ya nchi yetu ya joto kwa elfu 7 tu kwa mahitaji ya jumla ni pm, jipatie yako kwa dsm tunakuletea ulipo mzigo.
 

Attachments

  • 1436271423563.jpg
    64.6 KB · Views: 1,544
Karibu ujipatie yako achana na chupi na zile mpira wa kubana ni hatari kwa afya yako na usalama wako wa nguvu za kiume
 
Zipo kila size MEDIUM (M), LARGE (L), EXTRA LARGE (XXL)
 
Nimezipenda,hizi zinaonekana hazibani sana.
 
Naitaji2 kwa elfu10

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwahiyo bei ya 2 elfu hapana mkuu mandwa
 
Ndogo zipo, tunapatikana kinondoni manyanya , kwa sasa office bado ni ndugu yupo uturuki anatuma.mzigo upo nyumbani tunafanya door to door na kwenye mitandao, kwa wale wa dsm ukihitaji tunakufuata ulipo
 
Ndogo zipo, tunapatikana kinondoni manyanya , kwa sasa office bado ni ndugu yupo uturuki anatuma.mzigo upo nyumbani tunafanya door to door na kwenye mitandao, kwa wale wa dsm ukihitaji tunakufuata ulipo

Tabata Shule ukija huku itakuwa vyema. At least tatu or more.
 
Mzigo bado upo, jipatie yako
 

Attachments

  • 1436286277933.jpg
    88.8 KB · Views: 728
Mimi nipo mwenge mbili kwa 10,000 unachukua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…