Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Kaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika

Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kusini lakini Korea Kaskazini haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
 
Trump siyo mstaarabu hata kidogo Huwezi kuita nchi za wenzako shithole ni ubaguzi wa hali ya juu shenz type
 
Ndo shida ya kutawaliwa na mcheza mieleka. Hana usitaarabu hata kidogo
 
It's time for Africa now to stand for herself



"January 12, 2018 – The Ministry of International Affairs & Cooperation wishes to inform the public and the international community that the Government of Botswana, today summoned the US Ambassador to Botswana to express its displeasure at the alleged utterances made by the President of the US, Donald Trump, when he referred to African countries and others as “shithole countries” during a meeting with a bipartisan group of lawmakers at the White House on Thursday 11 January 2018.

The Botswana Government has also enquired from the US Government through the Ambassador, to clarify if Botswana is regarded as a “shithole” country given that there are Botswana nationals residing in the US, and also that some of Batswana may wish to visit the US.

The Government of Botswana is wondering why President Trump, must use this descriptor and derogatory word, when talking about countries with whom the US has had cordial and mutually beneficial bilateral relations for so many years.

Botswana has accepted US citizens within her borders over the years and continues to host US guests and senior government officials, including a Congressional delegation that will come to Botswana at the end of this month; that is why we view the utterances by the current American President as highly irresponsible, reprehensible and racist.

Botswana calls on SADC, the African Union and all other progressive nations across the world to strongly condemn the remarks made by President Trump."


Hao takataka mashithole wa Botswana, Waafrika wanauzwa Utumwani Libya leo hii walifanya nini?
Hivi tunavyoandika Waafrika wanauzwa kama bidhaa huko Maurtania, Botswana wamefanya nini au wamesema nini?

Haya ndo mambo yanayopelekea sisi kudharaulika, fvck Botswana!
 
Mzee mimi ni Mwafrika na sio mchafu naomba unitoe ktk hiyo kauli yako,na uchafu anaouzungumzia Trampo hapo sio wa kuoga ni hiyo rangi yako ndo anayoizungumzia.huyu mzee ni wa kupigwa risasi ya kichwa apotee duniani.
Trampo Trump

Kwani ni nani aliyesema ni uchafu wa kuoga?
 
Ukitaka kujua waafrika ni wachafu, nenda dsm utaona inavyonuka very true Trump Ila ukweli unauma Sana , Kigali pekee ndio nàona angalau kidogo
 
Naona sijui umetafsiri vibaya au umefanya makusudi ili kupunguza ukali wa maneno,but maana ya "shit hole" sio makalio ni tundu la m*v*
 
To be honest Africa si maziro tukubari tukatae wacha tutukanwe ubongo wa kuzira misaada haupo we are omba omba in nature
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Tumegundua Vigodoro na Kitchen party.
 
Niliwahi kuandika juu ya uhayawani wa Donald Trump siku za nyuma, kaka mkubwa Nyani Ngabu akanijibu kifedhuli sana.

Leo mwendawazimu huyu karudia maneno yale yale ya dharau kwa watu masikini. Wale watanzania wenzetu wenye mbwembwe za USA baby sijui wanatafakari kwa kina maana ya maneno ya Trump au wao mambo ni poa tu!.
 
Kuna nchi Afrika zimeshtuka kimawazo,na kuna nchi zimelala kimawazo,moja katika nchi zilizoamka ni pamoja na nchi ya Botswana,na katika nchi zilizolala kimawazo ni nchi kama majirani zetu Kenya na Rwanda

Sio siku nyingi zilizopita raisi wa marekani alitanganza kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel,nchi nyingi zilipinga hatua hiyo,lakini Kenya na Rwanda zilikubaliana na Trump...

Tukumbuke Kenya vile vile ilikuwa inaunga mkono utawala wa ubaguzi wa rangi(Apatheid) Afrika Kusini....

Trump katika siasa zake zinaohusu uhamiaji,kauliza kwanini nchi zenye watu wachafu kama makalio, kakusudi watu wa Afrika ikiwemo Kenya,Rwanda na Haiti kwanini wanakuja kuishi marekani..?

Botswana imechukuwa hatua ya kumrejesha balozi wake nyumbani,ni hatua nzuri sana kwa watu wanojijua,kama nchi za Afrika zitaiga mfano wa Botswana basi dunia itaziheshimu nchi za Afrika

Je Tanzania tutasubutu kama walivyofanya Botswana....?


Habari kutoka BBC
View attachment 673985
Serikali ya Botswana imemshutumu Rais wa Marekani kwa kusema mataifa ya Afrika ni "machafu" na kusema tamko lake rais huyo ni la kukosa kuwajibika, la kukera na "ubaguzi wa rangi".

Bw Trump alisema hayo alipokuwa akizungumzia sera ya uhamiaji ya Marekani, ambapo alisema anafikiti watu kutoka Haiti, El Salvador na nchi za Afrika hawafai kuruhusiwa kuingia kama wahamiaji Marekani.

Botswana imesema kupitia taarifa kwamba imemwita balozi wa Marekani nchini humo kufafanua iwapo Marekani inachukulia taifa hilo la kusini mwa Afrika kama "taifa chafu" na taifa la mabwege.

Taarifa hiyo ya Botswana imesema tamko la Trump ni la kukosea heshima taifa ambalo lina urafiki wa kufana na uhusiano wa kibalozi.

Botswana imeitaka jumuiya ya kiuchumi ya nchi za kusini mwa Afrika Sadc pamoja na Umoja wa Afrika kushutumu tamko hilo la Trump.

Bw Trump kwenye Twitter hata hivyo amejitetea na kusema hakutumia maneno hayo, lakini akasema aliyoyasema yalikuwa na "lugha kali".

Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema tamko hilo la Trump ni la kushangaza, la aibu na la ubaguzi wa rangi.

Rupert Colville amesema: "Iwapo yatathibitishwa, matamshi haya ni ya kushangaza na ya aibu sana kutoka kwa rais wa Marekani, nasikitika kwamba hakuna maneno mengine ya kueleza hili ila kusema kwamba ni ubaguzi wa rangi.

View attachment 673970
Hivi sie tuko bara gani vile?
 
Back
Top Bottom