Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Unaambiwa by 2050 mmoja Kati ya watu wanne Ni muafrica.
Hapo kumbuka wazungu bado wanaendelea na upumbavu wao wa LGBT.
Population gani inakuwa kupitia LGBT?
Watuite wajinga na wachafu well and good,ila the truth is wanatuchukia ma wanatuogopa.
Waafrica wanafukuzwa,hawatakwi Europe wala the US.
It will come a time watashindwa and its the time they fear most.
Nani haogopi uwepo mkubwa wa 'shitholes'?
That is the power of stupid people, NUMBER.
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Tumegundua kuwa historia yetu iliteketezwa wakati wa ukoloni.
Tumegundua sisi ni binadamu na tuna damu nyekund
Tumegundua Mzungu, kamwe hawezi kuwa na faraja pale sie tukiwa na faraja
Tumegundua Mheshimiwa kama huyo Raisi ni Racist!
 
Tuone waziri wetu wa mambo ya nje atasemaje. Botswana wameshaliamsha dude Au Itasema nini?
 
mbona mwaka 2015 mliitwa MALOFA mkanywea tena hapahapa nyumbani kwenu.Je Trump mtamfanya nini.Africans should be recolonizes for another 100 years aisee ile tujirekebishe.
Ni mim SHITHOLE (DODOMA)
Kwa sasa Zanzibar

ndio shithole mwenzangu

hawa malofa wana double standard kweli wanamchukia mzungu wakati mtizi mwenzao alielelewa na kodi za masikin kule ndani kabisa, anawaita ma lofa wanasema kweli sisi malofa akisema trump tusi........?

tena ametumia jina jepesi kama hukukwetu tupo zaidi ya hivyo
 
Tumegundua kuwa historia yetu iliteketezwa wakati wa ukoloni.
Tumegundua sisi ni binadamu na tuna damu nyekund
Tumegundua Mzungu, kamwe hawezi kuwa na faraja pale sie tukiwa na faraja
Tumegundua Mheshimiwa kama huyo Raisi ni Racist!
Pesa ni mpesa
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Makande tumeanzisha sisi uliza jingine
 
Ajifunze kufunga mdomo wake. Kuongea kila kitu ni udhaifu mkubwa sana hasa kwa watu wa hadhi yake!!!!
 
Bora hata Clinton.... Nimeanza kuelewa kwa nn wamarekani walikuwa wakimpinga.....
Kuna mizuzu mingine ya kibongo isiyojielewa,ipo ipo tu inasapoti......
Mingine hAina hata aibu inacomment hapa kusapoti ukurutu!!!!!
Ni mavichwa ya kiendawazimu....
 
Kama USA watasoma hii post yangu basi Trump apewe soda bili nalipa mimi.

Hapa hapa Tanzania tuna mifano kibao, watu wanahama hama hovyo hovyo na kuiingizia nchi gharama za uchaguzi ilihali kuna shule watoto wanasoma chini ya makuti.

Hapo Uganda kuna jamaa kabadilisha Katiba ili aendelee kugombea na kuongoza nchi.

Hapo Rwanda kila siku wapinzani wanakamatwa kwa kesi za ajabu ajabu.

Congo DRC nako hovyo tu Kabila anaona yeye tu ndo anastahili kua rais.

Burundi nako Nkrunzinza mjinga mjinga tu

Tanzania bajeti kubwa inatumika kushughulikia wapinzani badala ya shughuli za maendeleo.

GABON: Wabunge wabadilisha katiba na kuondoa ukomo wa Rais kwa mihula huku upinzani ukipinga


Nchi za Africa ni zaidi ya mashimo ya choo.
 
8aba582885e0617792a3b6e467b47f52.jpg


Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa

Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
si kwamba wewe ndo upimwe akili? Ni kweli Africa si shimo la choo?
 
Jamaa linapenda kuongea ukweli. Ila angesema uchafu wanatofautiana kati ya nchi na nchi. Kwa mfn Botswana, Egpty, Ghana, SA, Tunisia, Morocco, Ethiopia, Kenya na Rwanda ni wachafu kidogo, Ila Tanzania na zingine ndio wachafu kabisa. Mimi namuunga mkono kaka mkubwa Trump.
 
Back
Top Bottom