Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Hwo gives a shit bro,Trampo Trampa Trumpu Trompo vyovyote niandike vizuri hali yakuwa ananitukana?nikusema wewe unafurahi kubaguliwa sio chief!
Sikubali kubaguliwa...nakubali kuambiwa ukweli hata kama unauma.

Trump hajatubagua ila yeye huwa si Mnafiki na ni Mkweli.
 
Lugha aliyotumia ni Kali mno lkn alichokiongea hakiko mbali sana na ukwel. WE HAVE TO CHANGE NIGGERS.
Kubadilika kwetu ni kuepuka kuwa watumwa wa watawala,
Hapo tutawabana na watawajibika,
Wakiwajibika tutakuza uchumi na elimu,
Watu watajitambua na tutajijengea heshima,
Lkn hii ya kidumuuu
Tungoje sana,
Tutatukanwa sana
 
Trump mkimwelewa hataki msingeumiza kichwa.

Kila mtu na chake ...... Kwann waafrika kwa pamoja msimuonyeshe kua bwana sasa umezidi mpaka ?? Hawana uwezo huo .

Nabahati Mbaya Trump Hajawahi Kuomba Mtu Msamaha .

Tujengen nchi yetu ,, ili tuwe nanguvu ya kusema ...nampaa mtaitambua Jerusalem km mjii Mkuu Wa Israel
 
Kaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika

Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Korea kusini ndo dawa yake Mbona hatibui kule apate dawa yake, Trump yaani simpendi kama sura yake ilivyo yaani imekaa kiukorofi tu
 
Sisi ni wachafu
Full stop
Hata tusipoambiwa dunia inajua,na wenye akili wanajua,
Na wanaofanya tutukanwe ni viongozi wetu,
Wao ndiyo wachafu zaidi... Mambo yote mabaya na mabalaa huanzia kwao, wanayaleta Africa kama sehemu ya majaribio...

Wanakuaminisha vingi vibaya kuhusu wewe na uaAfrica wako, ili ujione wewe siyo chochote wala lolote mbele yao...

Wale waAfrica wote wenye powerful minds, ideas and who could change the world, either wawapoteze kwa gharama zozote au wawanunue na kuwapa uraia wao ili wawatumikishe na kufanikisha yao...

Inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
 
Kaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika

Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Tumia akili kidogo mkuu
Ishu siyo kumsusia trump
Ishu ni kubadirika,
Heshima haivutwi itakuja yenyewe kadri ya unavyoishi na kujismamia na kujitambua,
Unarudisha mabarozi halafu watu wako unawapiga risasi na kuwabana wakikukosoa matusi yataishaje
 
Wamwambie aombe radhi bara zima la Afrika au afukuzwe na nchi zote za Afrika zikiwa na msimamo huu huyu Shithole President atatia adabu kwa nchi za Kiafrika.

Huyu Rais wa Botswana si mchezo.
 
Trump ni Rais pekee anayeweza kusimama na kuongea kuhusu kitu fulani kama kilivyo bila ya unafiki. Trump hamung'unyi maneno wala hayapaki maneno yake asali. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Huyu ni Rais muwazi mno kupata kuwahi kutokea. Binafsi namkubali sana huyu jamaa, hana unafiki kabisa ndani yake.

Mfano mzuri ni aliposema Africa is a shit-hole; ni kweli kabisa hajakosea hata kidogo,
/QUOTE]
Mkuu unachoongea ni sahihi kabisa na wala hakuna hata chembe ya shaka.
Lakini wasiwasi wangu ni kwanini na Mara chache huwa anasimamia kauli zake anazosema? Mana hata hili nimesikia BBC hapa kuwa anasema hayo Matamshi hakuyatoa kama hivyo yanavyosambazwa?
 
Kwani uongo ...



Kama mnatengenezewa Vyoo kwa hisani ya Watu wa Marekani
Kabisa kaka,
Unamjengea mtoto shule choo kwa msaada wa marekani,na choo unakiandika donated by USA,mtoto aliyepo shule anajifunza nini km siyo Na yy kutaka akikua hata kwake asaidiwe kila kitu,tunaandaa akili za watoto kuamini hakuna maisha bila msaada,
Una ardhi lkn wananchi wako wanautapia mlo
Anakuja mama Obama anatangaza kusaidia kuondoa utapia mlo unashangilia,
Lazima tubadili fikra zetu ama tuvumilie matusi
 
DAh, kuita Nchi za Africa ni Shithole countries si jambo jema. Na pia kujiita sisi wenyewe na wajinga na wapumbavu si jambo jema pia. Tujitafakari.
Ni lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.

Ni sababu zipi zinaweza kuthibitisha kuwa waafrika si wajinga kwa kujilinganisha na wazungu au wa asia.?
 
Back
Top Bottom