Nitasema tena ana MENTAL ILLNESS maana kiongozi wa taifa kubwa kama lile hawezi kuwa na maneno ya uwendawazimu!Trump sio mgonjwa wala hajawai kuwa mgonjwa
Trump ni mropokaji ukweli mtupu tena kama waafrika tutatafakari maneno anayosema tutajirekebisha
Its true africa ni shithole na hio yote ni sababu ya viongozi wetu wa kisiasa kua walafi wakupitiliza na ma selfish wasiojali maisha ya raia wao bali wanajali matumbo yao , kazi kujikusanyia mihela ktk mi bank huko nje na kuzifanya nchi za africa ziwe like hell
Africa was shithole , is shithole and will be shithole hadi pale tutapopata viongozi wenye machungu na raia wao na moyo wa dhat wa maendeleo kwa nchi zao
Kuminya demokrasia na utawala wa sheriaNaomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Unadhani ni uchafu wa niniKulilo wachina ???
Uchafu anaosema yy siyo tu wa miili na mazingira,Ukitaka kujua waafrika ni wachafu, nenda dsm utaona inavyonuka very true Trump Ila ukweli unauma Sana , Kigali pekee ndio nàona angalau kidogo
Mkuu we na familia yako labda ndio shithole.Kwani amekosea wapi?
Nchi za Afrika ni shimo la choo.
Kama unaweza kupita barabarani na kuona vinyesi vikitapakaa barabarani na mitaroni baada ya chemba kutibuliwa kuna tofauti ipi na shimo la Choo?
Mfano mzuri ni jiji la Dar es Salaam.
Kuhusu Waafrika kuwa Watumwa, bado Waafrika ni Watumwa, ila utumwa wa leo si wa kutobolewa miguu na kuvishwa minyororo.
Tuna utumwa binafsi wa fikra, kisha vijana na wazee wa kiafrika ni Watumwa mpaka katika makampuni na viwanda vya wahindi.
Kama watu wanatoil asubuhi mpaka jioni na kusweat haswa katika kiwanda cha nguo cha muhindi na kulipwa sh. Elfu 80 kwa mwezi si utumwa?
Haya fafanua kiongozSioni kosa la Trump hapo.Niulizeni niwafafanulie.
Kukuza shaftiNaomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Kabisa,usipokubali pungufu lako hauwezi kuliondoaNi lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.
Ni sababu zipi zinaweza kuthibitisha kuwa waafrika si wajinga kwa kujilinganisha na wazungu au wa asia.?
Ni asshole.Ulimpima?
Siasa imekatazwa nowdays. Am holding my commentsNi lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.
Ni sababu zipi zinaweza kuthibitisha kuwa waafrika si wajinga kwa kujilinganisha na wazungu au wa asia.?
Shithole na asshole ipi ni mbayaTatizo letu sisi wabongo ni kutokujua Kiingereza vizuri. Watu wengi wanatafsiri neno "shit-hole" moja kwa moja na kusema eti ni shimo la choo. Hapana, maana ya neno hili "shit-hole" ni sehemu chafu sana, ya ovyo ovyo isiyokuwa na mpangilio au unaweza kusema; sehemu isiyovutia.
shithole
ˈʃɪthəʊl/
noun
vulgar slang
noun: shit-hole
Kiukweli Trump hajakosea kusema Africa is a shit-hole, Africa ni chafu kwenye kila kitu, kwenye uongozi, kwenye mitaa, kwa watu binafsi wengi wetu ni wachafu sana. Miji yetu ni michafu mpaka karne hii ya 21 bado Africa kuna kipindu pindu hasa hapa kwetu Tanzania.
- an extremely dirty, shabby, or otherwise unpleasant place.
"this place is a shit-hole, I hope you know that"
So if you put it metaphorically, Trump is right, Africa is really a shit-hole and I agree with 100%
Umesema kweliAfrika inazo changamoto nyingi,lakini si sahihi hata kidogo kutumia kauli kama hiyo.
Hongera serilikali ya Botswana kwa kuliona hilo na kulichukulia hatua mapema.
Ulistahili uungwaji mkono,lakini bahati mbaya wenzio wako busy na masuala mengine ya kuwazia kubadili katiba hususan vipengele vya ukomo wa madaraka.
HahahahaNi asshole.