Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Trampo Trump

Kwani ni nani aliyesema ni uchafu wa kuoga?
Hwo gives a shit bro,Trampo Trampa Trumpu Trompo vyovyote niandike vizuri hali yakuwa ananitukana?nikusema wewe unafurahi kubaguliwa sio chief!
 
namuunga mkono trump maana mambo mengine hakuna namna...we fikili kuna watu hata mitaji ya laki moja tu, wanakosa lakini bajeti ya kuchaugua upya madiwani na wabunge wanao muunga mkono mtukufu ipo sasa kwa mambo kama haya trump asemeje sasa....hizi pesa za marudio ya uchaguzi wangepewa wajane na yatima si tungekuwa mbali sana
 
Trump ni mgonjwa wa akili,kama huyu wa kwetu,ila uchizi wa trump umezidi.Sijawahi kushangazwa na matendo na kauli za huyo banamkubwa sababu namfahamu kitambo kuwa dishi lake limecheza,signal iko scrambled.
 
Trump anajulikana kwa tabia zake, kauli zake na mambo yake ya kukurupuka ovyo...

Atakalo amka nalo ndiyo hilo hilo...


Cc: mahondaw
Sisi ni wachafu
Full stop
Hata tusipoambiwa dunia inajua,na wenye akili wanajua,
Na wanaofanya tutukanwe ni viongozi wetu,
 
mbona mwaka 2015 mliitwa MALOFA mkanywea tena hapahapa nyumbani kwenu.Je Trump mtamfanya nini.Africans should be recolonizes for another 100 years aisee ile tujirekebishe.
Ni mim SHITHOLE (DODOMA)
Kwa sasa Zanzibar
Mkuu naona umikubali matokeo. Shithole?!? Hapana. Huyu babu amezidi sasa. Hivi hawezi kulogwa huyu?!? Wazee wetu wa kiafrika watumie ujuzi wao kutetea utu wetu, huyu ni mtu wa kushikishwa adabu. Ikiwezekana akiamka ajikute yupo kijiji fulani huko Togo ndo atatia adabu.
 
Siwezi kumshutumu Trump kwa kutumia lugha za kuudhi wakati rais wangu ni aina ya watu wanaotoa lugha za kuudhi.
Rais wako ana mipaka ya uongozi inayoishia humu humu nchini, kauli ya Trump inawakilisha Marekani, nchi ambayo inatoa mwongozo wa kimaadili wa kidunia.

Kauli ya Trump haiwezi kuwa kwenye viwango sawa na kauli yoyote ile ya JPM.
 
Niliwahi kuandika juu ya uhayawani wa Donald Trump siku za nyuma, kaka mkubwa Nyani Ngabu akanijibu kifedhuli sana.

Leo mwendawazimu huyu karudia maneno yale yale ya dharau kwa watu masikini. Wale watanzania wenzetu wenye mbwembwe za USA baby sijui wanatafakari kwa kina maana ya maneno ya Trump au wao mambo ni poa tu!.
Ana tofaut ipi na rais wa Tanganyika
 
Ukwel mchungu...kama mpaka leo tunaamin albino dili..zero brain anaongoza watu..tukiambiwa tuame mabonden hatutak...ebola sisi..maralia sisi..ujinga sisi..


Ni kweli,kama kuna mahayawani yananunuliwa ili yapayuke kuwa yanamuunga mkono mheshimiwa,upumbavu wa kiwango hiki upo kwenye nchi zenye uchafu zaidi ya masaburi!
 
Trump na mkewe wote vizazi vyao ni wahamiaji marekani. marekani RAIA wengi kuanzia wazungu na ni wahamiaji toka nchi zingine. Wenyeji halisi wa marekani ni wahindi wekundu kama ambavyo wakazi halisi wa Tanzania ni watindiga.Makabila mengine yote ni wahamiaji toka nchi zingine ukisoma historia.Donald Trump kama kaliongea kakosa hekima asisahau kuwa naye vizazi vyake ni wahamiaji toka nchi zingine walioingia america hilo tusi kama katukana ametukana na mababu na mabibi zake waliolala makaburini ambao kama si juhudi zao za kutafuta maisha asingekuwa marekani pengine angekuwa ukoo maskini kwenye moja ya vijiji maskini vya ulaya walikotokea wahenga wake.Anyway he is a businessman turned politician.Business man have no soft language when it comes to dealing with poor.Somebody should wake up Donald Trump and tell him that you are now a politician dear be careful with the poor they a the majority even in America Rich people like Trump are few.
 
Kwani Trump kasema uongo? yaani anabadilisha rais atawale adi kufa alafu unataka uitwaje? mashithole nyie
 
Trump inawezekana Wasaidizi wake wakimzingua anawapa shit za kutosha sana huko off mic mana si kwa Maneno haya ya kuuzi anayotoa!!!
Trump ni Rais pekee anayeweza kusimama na kuongea kuhusu kitu fulani kama kilivyo bila ya unafiki. Trump hamung'unyi maneno wala hayapaki maneno yake asali. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Huyu ni Rais muwazi mno kupata kuwahi kutokea. Binafsi namkubali sana huyu jamaa, hana unafiki kabisa ndani yake.

Mfano mzuri ni aliposema Africa is a shit-hole; ni kweli kabisa hajakosea hata kidogo, Africa ni chafu sana.

Wakati wa kampeni zake Trump alisimama na kumwambia Papa wa Kanisa Katoliki ni "mnafiki" sababu anawatetea wahamiaji lakini hawakaribishi hao wahamiaji Vatican wala kuwapa misaada wakati Vatican ina utajiri mwingi sana.
 
Atasema anavyo taka kwasababu anajua hatuna jeuri ya kufanya lolote. Sie kazi yetu ni kubeba bakuli kila tunapo muona mzungu. Waafrika tunaendekeza njaa na siku zote omba omba anadharaulika.
Unashindwa kusimamia elimu ambayo ndo chanzo cha ustaarabu na kujitambua,
Unashindwa kusimamia utajiri Mungu alokupa
Unakaa kutwa kuomba omba na kuwapa wawekezaji nguvu kuliko wazawa,
Unaua RAIA wako kulinda utawala wako,
Umejaa ubinafsi
Halafu ukitukanwa unalalama!
Ss in zaidi ya hilo tusi
 
776423f751bba30bc1e8b49dee5576d9.jpg
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
 
Back
Top Bottom