Botswana waichana live USA

Matendo yapi hayo?
Katiba ya marekani ni ya 1787 mpaka leo wanatumia hiyo hiyo. Angazia bara la Afrika ndo upate kujuw kwa nini wa afrika hatufanani na binadamu. Angalizia hapo jirani yetu Zimbabwe, mzee wa 93 et ndo rais. Kabisa!!!!
 
Trump ni kichaa, hatutakiwi kubishana na mgonjwa wa akili...
 
Sawa sawa tu .kutuita sisi mashimo ya choo na tena aongezee na nyani kabisa ...
 
Kwani sasa ni wasafi?

Usafi wenu uko wapi?

Watu mmejaa uwongo uliokithiri. kuoneana kusikotamkika, hamuwezi kujitawala, hamthaminiani, mnapigana risasi hadharani na bado mnaidhinisha uonevu huo, viongozi wenu wanaidhinisha uvunjivfu wa amani na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hata sheria za nchi mliozojiwekea mnauhuru wa kuzivunja hadharani na kisha kutumia mabavu kulinda uvunjaji huo, hamtaki kufanya yale watu wengi wanataka ambayo ni bora kwa ustawi wa taifa badala ayke mnafanya usani i kwa maslahi ya watu wachache. Mnatumia ujinga wa binadamu kama nyenzo ya kuwatawala kwa maslahi yenu.

AU UNADHANI TRUMP AMESEMA HAYO KWA KUMANISHA USAFI WA NGUO NA MWONEKANO WA RANGI?

DAWA NI SIYO KUFUNGA UBALOZI. KUFUNGA BALOZI HAKUFENYI MUWE WASAFI. NI KAMA VILE KUMUUA TUNDU LISU AMBAVYO HAKUJATUPATIA NOAH KILA MTANZANIA, HAKUJAFANIKISHA KULETA NDEGE YETU HAPA NYUMBANI, HAKUJAPUNGUZA UGUMU WA MAISHA.

MKITAKA KUONEKANA WASAFI, ISHINI MAISHA SAFI NYUMBANI KWENU. MSITAKE KULAZIMISHA WATU WAWAITE WASAFI WAKATI MNASHEHENA CHAFU MIOYONI MWENU HUKU DAMU ZA NDUGU ZENU ZIKIWALILIA.


 
Ukiwa unaingizwa muhogo wewe unafikiri ni kila mtu ewe shithole?

Waafrika ni wachafu sana...wengine mnanuka.
Unasukumizwa hogo ww ndo maana unasapoti mashoga wenzio wenye pua za nguruwe akina trump and the likes,stupid hamia huko huko unatuchafua na shombo zako
 
Unasukumizwa hogo ww ndo maana unasapoti mashoga wenzio wenye pua za nguruwe akina trump and the likes,stupid hamia huko huko unatuchafua na shombo zako
Hahaha...siku zote kutukana namna hii katika discussion kunajustify umaaluni wa kukosa hoja au kuzidiwa hoja.

Bila shaka na wewe ni mchafu.. shithole ndio mana unatokwa povu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waafrika tutakubali kutukanwa maana hatuna ubavu wa kubishana na hawa jamaa
 
Hahaha...siku zote kutukana namna hii katika discussion kunajustify umaaluni wa kukosa hoja au kuzidiwa hoja.

Bila shaka na wewe ni mchafu.. shithole ndio mana unatokwa povu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda kwa shithole mwenzako trump akutawaze huko kwa buttacks,ukiwa safi urudi kuchangia usafi.
Nonsense arguments
 
Trump yuko sahihi kama vipi wachukue maamuzi magumu waandamane warudi nchini mwao Africa na Haiti..wasiporudi trump yuko sahihi
 
Sema mkuu umezidisha tusi,
Nadhani wewe ni mmoja wa wavurumisha propaganda wa kijani wanaotupotoshaga daily,
Tusi halikuwa hivyo,
Labda umejinukuu ulivyo ukaamua kubambika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…