Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Mwambie mchina na mrusi
Acha kujichukia kijana
Nakupa amri JITHAMINI
Nimwambie nini Mchina na Mrusi wakati mada inazungumzia Uchafu wa Mwafrika kama alivyozungumza Trump?

Trump hakuwahi kuwaita Warusi na Wachina shitholes.
 
Nimwambie nini Mchina na Mrusi wakati mada inazungumzia Uchafu wa Mwafrika kama alivyozungumza Trump?

Trump hakuwahi kuwaita Warusi na Wachina shitholes.
naona hunielewi na wala hutakaa unielewe!
tuishie hapa!
Ngoja nikachukue mapesa yangu ya biashara
Mie!
Bye bye
 
Umeelewa point yangu hapo?

Marais wote waliopita wa Marekani walikuwa na Uzalendo haswa na ni viongozi kwelikweli sio UCHWARA mkuu.

Kutoka kuwa koloni la muingereza mpaka kuwa super power na kuitawala dunia si lelemama.
Wote walikuw wazalendo? Unaumri gani? Marais 44 wote unawajuwa mkuu?
 
Mawazo yako ni mawazo ya kila mwafika asiejifahamu,Trump lazima asusiwe leo kawatukana wafrika hujui kesho atafanya nini waafrika....

Heshima haiji wenyewe kaka,unatakiwa ujiheshimu kwanza ndio utaheshimiwa,mimi sizungumizii siasa za ndani ya Tanzania.

Ninachomini mimi kama watanzania wanajijua Serikali asingelifanya inachofanya,leo hii watanzania waingie mitaani,wafanye maandamano ya kupinga vitendo vinavyofanywa na serikali na amini serikali itakaa sawa,naamini serikali itawasikiliza...

Juzi tu Tunisia wananchi wameingia mitaani ,wameandamana kupinga kifo cha mtoto kilichotokea Polisi,nchi nzima imeandamna kupinga udhalimu wa Polisi,watunisia wamefanya hivyo kwasababu wanajiheshimu hawataki kuonewa...

Tanzania watu wanapotea,wengine wanakotwa pwani ufukweni,Mbunge anapigwa risasi mchana kweupe,watanzania hawajafanya chochote,kwasabu hawana heshima,hawajiheshimu,hawajui thamani ya utu wao,usingumzie heshima kaka,kama hujiheshimu hamna atakaekuheshimu...

Lazima upingekwavitendo kuwa hutaki kuonewa ndio heshima itakuja,kama hupingi kile unachofanyiwa hata kikiwa kibaya maana unapenda ufanyiwe unachofayiwa.....

Kama Trump hajafundishwa adamu kufanmishwa kuwa alichafanya hakikubaliki,ataendelea kufanya zaidi ya alichafanya..
Halafu watu kma wewe huwa mnaongelea tu kwenye keyboard, fanya kwa vitendo hlf uwe msitari wa mbele tukuone mkuu, napenda watu wenye mawazo mazuri kma haya lkn kwa vitendo siyo kutanguliza wenzenu.
 
IMG_3348.JPG
Ww na mwenzako AMAHORO mnanuka damu ya mauaji ya kikabila ndo maana nasema, mrudi kwenu,laana ya UKABILA msituletee
 
Wote walikuw wazalendo? Unaumri gani? Marais 44 wote unawajuwa mkuu?
Unawajuwa -> Unawajua

My age has nothing to do with this thread...cha muhimu ni points n opinions.

Wewe unakusudia kusema nini?
 
Kaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika

Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Mkuu...kurudisha mabalozi wetu back home na kufunga balozi zetu USA sio solution sababu mwisho wa siku....tunawahitaji wao kuliko wao wanavyotuhitaji sisi
 
Halafu watu kma wewe huwa mnaongelea tu kwenye keyboard, fanya kwa vitendo hlf uwe msitari wa mbele tukuone mkuu, napenda watu wenye mawazo mazuri kma haya lkn kwa vitendo siyo kutanguliza wenzenu.
Au hata akamjibu Trump via tweeter.
 
Tuoge mfano wa botswana, vyuma tumevizoea hata wakikausha msaada poa tu tutakula ata maparachichi
 
Tuoge mfano wa botswana, vyuma tumevizoea hata wakikausha msaada poa tu tutakula ata maparachichi
Kambarage spirit
Ubarikiwe sana
Pesa watatupa na wakitutukana na sisi tuna watukana
Dadeki zake zezeta babu
 
Back
Top Bottom