Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Kwan alidanganya? Iv Afrika ni binadam kweli?
 
Hiyo kututukana ni kuthibitisha kutudharau...kwsbb Waafrika wengi wana sababu nyingi za kudharauliwa, hasa viongozi.

Tofauti ya Trump na wazungu wengine ni kuwa yeye si Mnafiki, wazungu wengine wanatuchukia sana na wanatutukana mioyoni si mdomoni.

Bora awe adui yako wa wazi kbs kuliko wa kisirisiri.
Sasa trump kipi kinachomuuma kuhusu afrika?
 
Kinachomuuma ni Waafrika kung'ang'ania kuingia nchini kwake wakiwa ni Wakimbizi na Ombaomba.

Zaidi akifahamu vizuri sababu za ukimbizi huona kuombaomba kuwa ni Waafrika wenyewe hasa viongozi wao.
 
Marekani sio nchi ya trump.wala waafrika hawamfati yeye huko marekani.wala hela hatoi yeye ya kuwasaidia wakimbizi.
HAWAACHE WANANCHI WA US WASEME.
sio yeye aseme kwa chuki zake.
na hyo sio sababu.
ASEME TU SITAKI MUINGIE US.LAKINI SI KUTUTUKANA.
Atuache na matatizo yetu waafrika.yeye hayamuhusu.
Na asiumizwe.
Sasa anataka wananchi wa afrika tuanzishe vita kuwapinga viongozi wetu.ili wao wauze madawa na silaha.
 
Kama kweli wameua Na wamekerwa wamtimue baloz Wa marekan huko Botswana arud kwao kama wana jeuri iyo
 
Marekani sio nchi ya trump.wala waafrika hawamfati yeye huko marekani.wala hela hatoi yeye ya kuwasaidia wakimbizi.
HAWAACHE WANANCHI WA US WASEME.
sio yeye aseme kwa chuki zake.
na hyo sio sababu.
ASEME TU SITAKI MUINGIE US.LAKINI SI KUTUTUKANA.
Atuache na matatizo yetu waafrika.yeye hayamuhusu.
Na asiumizwe.
Sasa anataka wananchi wa afrika tuanzishe vita kuwapinga viongozi wetu.ili wao wauze madawa na silaha.
Hahaha...Ukisema USA sio nchi ya Trump unakosea sana.

USA ni nchi ya Trump. Trump ndiye Rais aliyechaguliwa na Wamarekani kuiongoza nchi, kuwa dhamana ya nchi, na kuiwakilisha nchi popote duniani.

Ana amri na mamlaka kama Rais kukubali na kukataa mambo mengi yahusuyo USA.

Pia ana mamlaka na sauti UN.

Mimi nakushangaa wewe ni kwanini unamlaumu Donald Trump badala ya kulaumu Waafrika haswa viongozi wanaosababisha hao Wakimbizi.
 
Trump anajulikana kwa tabia zake, kauli zake na mambo yake ya kukurupuka ovyo...

Atakalo amka nalo ndiyo hilo hilo...

Cc: mahondaw
Ana mental disorder
Ni wa kupuuzia tu
Alianzana na wanawake sasa vimemshinda kaingia kwa wafrica huyu marehemu trump
Imbecile kabisa
 
Ukitaka kujua waafrika ni wachafu, nenda dsm utaona inavyonuka very true Trump Ila ukweli unauma Sana , Kigali pekee ndio nàona angalau kidogo
Watutsi bhana,nyinyi juzi hapa mmeuana kwa ukabila unathubutu kujiita eti msafi?hako kainchi kenu kanalingana na mkoa wa Mara kana nn?rudi kwenu,usituletee laana ya ukabila kwenye nchi yetu.
 
Hahaha...Ukisema USA sio nchi ya Trump unakosea sana.

USA ni nchi ya Trump. Trump ndiye Rais aliyechaguliwa na Wamarekani kuiongoza nchi, kuwa dhamana ya nchi, na kuiwakilisha nchi popote duniani.

Ana amri na mamlaka kama Rais kukubali na kukataa mambo mengi yahusuyo USA.

Pia ana mamlaka na sauti UN.

Mimi nakushangaa wewe ni kwanini unamlaumu Donald Trump badala ya kulaumu Waafrika haswa viongozi wanaosababisha hao Wakimbizi.
LAKINI HANA MAMLAKA YA KUTUTUKANA WAAFRIKA.apambane na hali yake.
anaruhusiwa kukataza sio kutukana.
 
Hahaha...Ukisema USA sio nchi ya Trump unakosea sana.

USA ni nchi ya Trump. Trump ndiye Rais aliyechaguliwa na Wamarekani kuiongoza nchi, kuwa dhamana ya nchi, na kuiwakilisha nchi popote duniani.

Ana amri na mamlaka kama Rais kukubali na kukataa mambo mengi yahusuyo USA.

Pia ana mamlaka na sauti UN.

Mimi nakushangaa wewe ni kwanini unamlaumu Donald Trump badala ya kulaumu Waafrika haswa viongozi wanaosababisha hao Wakimbizi.
Trump ni kichaa paseee
Kwani marekani imetokea wapi?
There's time for everything under the sun
 
Wanao sababisha tuitwe wachafu ni viongozi wetu uchwara waliojaa Africa wanao wasujudia wawekezaji wa kigeni
Kabisa Mkuu, na hatupendi kuambiwa Ukweli.

Maajabu, badala sisi tuanze kuwalaumu hawa viongozi wetu uchwara tunamlaumu Trump.
 
Back
Top Bottom