Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Atasema anavyo taka kwasababu anajua hatuna jeuri ya kufanya lolote. Sie kazi yetu ni kubeba bakuli kila tunapo muona mzungu. Waafrika tunaendekeza njaa na siku zote omba omba anadharaulika.
Ukitaka kujua sisi waafrika, pamoja tumetukanwa lakini watu wametoa LIKE za kutosha. Wacha jamaa atutukane tuuu
 
Wanangu tutafuteni pesa. Uhuru wa kweli ni Financial freedom, uhuru mwingine wowote ni illusions tuu. Weka mipango yako vizuri,kumbuka kuweka akiba na kuwekeza.
La sivyo tutaendelea kuitwa shitholes
 
Trump amesama ukweli ila aibu ni viongozi wetu mpaka sasa nchi yetu miaka 50+ baada ya uhuru.....tunahimiza watu kua na vyoo eti "nyumba ni choo" kwenye t.v. na radio.......tunaambiwa kunawa mikono baada ya kutoka chooni duh eti a wamu ya 1,2,3,4,5 mafanikio sufuri shule za msingi hazina toilets na running water eti elimu bure nauchafu wote huo.
Huwa naona aibu ninapoona jiji pekee la nchi (Dar) linakosa maji ya uhakika ya bomba na kusababisha watu kujaza vyombo vya maji ndani ya nyumba. Watu kutwa wako bize na ndoo zao kwenda kutafuta maji. Maji ya visima tena ya chumvi ndiyo yanakuwa kimbilio, na of course hayana viwango na yanasababisha fungus hatari!
 
Tena ongeza maneno makali zaidi baba trump sisi ni fisi maji kabisa na viongozi wetu ni mabata mizinga sasa sijui raisi wetu atakuwa kombora kabisa

Umefanya vema trump kesho ututukane tena
 
Back
Top Bottom