Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Baada ya matusi ya Trump kwa Waafrika, Botswana wameonyesha kusikitishwa kwao na kuonyesha msimamo wao, namshauri mkuu wa kaya afanye vivyo hivyo

IMG-20180112-WA0000.jpg
 
Huwa naona aibu ninapoona jiji pekee la nchi (Dar) linakosa maji ya uhakika ya bomba na kusababisha watu kujaza vyombo vya maji ndani ya nyumba. Watu kutwa wako bize na ndoo zao kwenda kutafuta maji. Maji ya visima tena ya chumvi ndiyo yanakuwa kimbilio, na of course hayana viwango na yanasababisha fungus hatari!
Kweli mkuu tunaangaika na vitu vikumbwa kama SGR wakati vitu muhimu vya afya kama maji public Toilets zenye maji...... tunashidwa mtu akitusema tuna kasilika eti jiji kama Dar kukosa maji ya wakika aibu kumbwa kwa taifa letu
 
Kumbe kweli we we upon gizani. Tanzania tuna vitu na vumbuzi za kujivunia. Kwanza chanjo ya Malaria ilinguduliwa katika kituo cha utafiti Ifakara - Moro, WHO waligoma kutupa hati miliki wamerika wakaichukua na wakajifanya wameigundua wao tena wakaibadilisha ili tuamia haifanyi kazi pia kumbuka Mradi wa mbu Jangwani na Muhimbili ilikuwa ni majaribio mbu walikuwa wengi. 2. Uvumbuzi wa viazi lishe venye vitamin A nyingi baada ya Sirikali kusutukia chanjo ya matone. 3. Tanzanite nipo Tanzania tu, mbona wanai-disvalue. 4. Vyura wa Kihasi - Moro wamerikani walichukua baadhi kwenda na US kisha walipozaa aliwarudisha lakini walikuwa wana magonjwa ili vyura wote wafe pale Kihasi wabakie Marekani tu. Wataalamu wetu waligundua na walizibiti magonjwa hayo. Kumbuka vyura wa Kihasi wanazaa na wanpatikana Tanzania tu. Labda kwa sasa na Marekani. 4. Uranium, kwa miaka kumi na ushee hivi kulikuwa na mradi fulani wa UKIMWI mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma. Mradi huo uliongozwa na Marekani, walikuwa wanchunguza Uranium. Marekani ajenge barabara toka Ruvuma hadi Mtwara bure. 5. Serengeti hakuna hifadhi duniani yenye wanyama mbalimbali kama serengeti. 6. Mt. Kilimanjaro is only highest free stand mountain in the world. Maana yake unapanda mpaka juu bila kutumia kamba. 7. Uvumbuzi wa panya watengua mabomu toka pale Moro mbona wazungu wapo kimya. 8. Uvumbuzi wa M-pesa wazungu hawaupendi kabisa wanauzuia usiingie kwao wao wanakazania ATM card na electron card mbalimbali kwa nini wasichukua M-Pesa. Ndio maana tuwe makini na Bitcoin. Hii inakuja kufanya mtikisiko wa Uchumi wa Dunia baadaye. 9. Nembo ya Taifa. Tanzania pekee ndiyo nchi ambayo kwenye nembo yake kuna mwanaume na mwanamke. Nchi nyingine ni wanyama au mimea tu kwenye nembo zao za Taifa. TAFAKARI.

Ila hili suala watu wanagundua helicopter afu majitu yenye degree uchwara yanaleta fitina ni maajab mengine ya watanzania
 
Kuna wa2 hum uwezo wao kufikir ni mdogo eti m2 anaamua kusapoti Trump kwa sabab ya Africa kushindwa kutatua matatizo yetu...ya kisiasa na kiuchumi
He man is talking abt color n some1 stupid 'ni kweli africa ni wachafu' hata siwezi andika vizuri tena wanaomsapot trump kw A MAneno yake
Wote ni watumwa....
M2 anadhalilisha rangi yako bado unakenua meno...
Tangu lini mtu akatae asili yake et kwa sabab kwa sabab ya matatizo ya ndani....
Kwan hao wazungu hawana matatizo....
Kama umeshindwa kutambua umuhim wa rangi I MEAN BLACK....mtafute MLK,2PAC NA MALCOM X
 
Na kauli za mtukufu wa chato vipi? Trump ni lichochezi na namsukuma je?
 
Magu yeye anaongea kwa vitendo, wakija huku walipe kodi zetu, hawawezi waondoke. Na kwao siendi hadi natoka madarakani, wakitaka kuja wanakaribishwa, wasipotaka wasije tu sijawaita. Sio wengine ilikuwa kutwa US. Hapa kwetu Trump ata blow, jamaa anajielewa aisee.
 
Jpm anaweza, sema tu Trump hajaingia 18 zake.
 
Acha aseme hakuna mtu aliye mkamilifu hata yeye mbona ni chizi na watu tunamwangalia tu ...na hakuna anauebisha kua wamarekani wamebugi kuchagua chizi ....Nguruwe yule hawezi kutuita sisi shit hole....yeye ni ass wipe manina
 
Yaani hakuna mtu anakera kama trump kama jina lake lilivyo huu ni uchafu kweli kweli ...hope ataondoka madarakani soon
 
Kwa hiyo ndio mana bongo wamekuja na kauli ya usitupe taka ovyo tanzania nzima ukikamatwa faini 100000
 
Waafrika ni wachafu. MTU yupo Radhi amtoe roho mpinzani kisa anampinga
 
Mimi ukweli wa moyoni naikubali na naunga mkono kauli ya Trump. Trump doesn't sugarcoat a thing. Hana uswahili yule mzee sio mnafiki kabisa anakupa za uso tu. Kuna mambo ya hovyo sana yanafanyika Africa (socially, economically, politically).. sioni hata kama tumeonewa na ndo mana huyo Rais wako na wengine wa Africa hawawez kunyanyua mdomo maana wanaujua ukweli.
 
Tukubaliane jambo moja: Huenda "Shithole Countries" hazipo; "Shithole Leaders" je, nao hawapo?
 
Tukubaliane jambo moja: Huenda "Shithole Countries" hazipo; "Shithole Leaders" je, nao hawapo?
 
- Wewe mtu Zanzibar watu wapige kura mshindi anajulikana halafu Rais anatangazwa mngine.
- Huko Congo mda wa Rais umepita halafu hataki kutoka madarakani.
- Huko Burundi mda wa Rais umepita anabadili katiba
- Tupo hapa karne ya 21 bado mtu unashuhudia mgao wa umeme masaa 12 Tanzania hii
- Pesa za serikali badala zilete maendeleo zinanunua madiwani na wabunge
- Huko Libya watu walikuwa wanaishi vizur wakapindua serikali yao sasa imewashukia kuzimu wanauana tu wenyewe kwa wenyewe.
- Plus other shits zilizopo kila mahali..

Mimi siwez kuwa mnafiki na kuukataa ukweli.

First we need to agree that African countries are shitholes, ndo tupange how we can get out of that. Vinginevo naona mnajaribu kumchukia Trump kwa kusema ukweli. Period!
 
Back
Top Bottom