cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Tumegundua kuwa historia yetu iliteketezwa wakati wa ukoloni.Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
mbona mwaka 2015 mliitwa MALOFA mkanywea tena hapahapa nyumbani kwenu.Je Trump mtamfanya nini.Africans should be recolonizes for another 100 years aisee ile tujirekebishe.
Ni mim SHITHOLE (DODOMA)
Kwa sasa Zanzibar
Pesa ni mpesaTumegundua kuwa historia yetu iliteketezwa wakati wa ukoloni.
Tumegundua sisi ni binadamu na tuna damu nyekund
Tumegundua Mzungu, kamwe hawezi kuwa na faraja pale sie tukiwa na faraja
Tumegundua Mheshimiwa kama huyo Raisi ni Racist!
We wa wapiNi kweli Waafrika ni watu wachafu sana.
Unataka kunya sasainamaana kamzidi hata huyu jirani yangu wa hapa chato?
WhyMtu mweusi Mtata sana
Hata akiitwa Black anasema anabaguliwa anataka aitwe African
Kama wapi?We wa wapi
Makande tumeanzisha sisi uliza jingineNaomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
si kwamba wewe ndo upimwe akili? Ni kweli Africa si shimo la choo?
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa
Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili