Botswana imeniingia Akilini

Hayo majengo sio kigezo cha yeye kumshawishi kuhamia.

Muoneshe Botswana halisi ilivyo kama utakavyo muonesha Tandare kulivyo.

residential.jpg

gaborone_2.jpg

maxresdefault.jpg
 
Uko sindo wanawake wanateka wanaume na kuwagegeda
iMAGE.jpg

The capital Gaborone has more than 1,200 Zimbabwean sex workers while 300 operate in Francis town near the Plumtree border post. The resort town, Kasane, has 100 Zimbabwean sex workers and others are scattered in various urban areas in Botswana.

There are almost 4,153 commercial sex workers in the three towns. More than 70 per cent of the women cite financial gain and lack of employment as reasons for engaging in this trade.

Botswana is second after Swaziland in terms of HIV/Aids prevalence rate in Africa.

In 2012, it was estimated at least 400,000 people aged between 15 and 49 in Botswana were living with HIV/Aids.

Botswana has a population of 2 million

Kwanza fikiria umri wako.
Majukumu yako kifamilia
Kisha tafuta pesa hapa nyumbani ila isihusiane na kuuza hivyo viwanja.

Ukitafakari hayo ukiona uko salama binafsi nakushauri EAC PASSPORT ikuongoze ufike salama tutaonana ukiwa na mafanikio na kuendelea ulipoishia.

Au tutaonana ukiwa kawaida na kuanzia ulichokiacha kutafuta ahueni ya maisha yetu ya kibongo.
 
Yule mdau aliyekuwa anajiita "Shibe kijijini" aliaga hapa kwenda South kupitia Botswana anapatikana? Maana aliishia mrejesho wa safari yake katika mpaka wa Botswana na South Africa...angekuwa msaada kwako japo sehemu ya kuanzia.
 
iMAGE.jpg

The capital Gaborone has more than 1,200 Zimbabwean sex workers while 300 operate in Francis town near the Plumtree border post. The resort town, Kasane, has 100 Zimbabwean sex workers and others are scattered in various urban areas in Botswana.

There are almost 4,153 commercial sex workers in the three towns. More than 70 per cent of the women cite financial gain and lack of employment as reasons for engaging in this trade.

Botswana is second after Swaziland in terms of HIV/Aids prevalence rate in Africa.

In 2012, it was estimated at least 400,000 people aged between 15 and 49 in Botswana were living with HIV/Aids.

Botswana has a population of 2 million

...shubaaamit!..milioni 2 halafu 400,000 wana ngwengwe;
.nendeni tu!
 
Ndugu zanguni sina mengi ya kusema, Binafsi ni mdau wa JF, nimekuwa nikisoma uzi kibao kuhusu nchi ya Botswana
Sasa kila nikitembea moyo umeja Botswana
Nina viwanja viwili, nimeamua niviuze ndani ya mwaka huu nihakikishe nahamia huko, sihitaji kuajiliwa, ntajiajili mwenyewe tu,

Najua nikiwa na wasitani wa million 10 sitakosa hata Mashine na vioo ili nifungue hata saluni ya kiume.

Mwisho kabisa, km kuna mtu anampango wa kwenda huko ani pm tupange mipango tushuke pamoja
NB:Tutakae kwenda pamoja asiwe mvuta sigara, bangi, mnywa pombe, mpenzi wa madem
Kiufupi awe ni mtu asie tumia kilevi.
ww huyo mtu unayetaka kwenda naye na unamwekea vikwazo vyote hivyo ni ndoa ama?
 
Mkuu upate 10 million uende Botswana nenda Nchi za Asia huko China,Singapore, Thailand hata Vietnam kuna maisha nauli hapo inatosha pamoja na visa na hela ya kujikimu maisha ya mwanzoni na utapata vitu vya kufanya huko Botswana sio nzuri kivile kama unavyosikia Sasa hivi wana ubaguzi nao na baadhi ya shughuli kupata kipato zinasumbua Wazimbabwe wapo wengi wao Watswana wanatafuta maisha kwa kaburu wengi tuu ondoa woga nenda Asia huko...
 
Ngoja kwanza nitoe tongo tongo kwanza hapo Botswana then nitaruka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom