MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,231
Ndugu zanguni sina mengi ya kusema, Binafsi ni mdau wa JF, nimekuwa nikisoma uzi kibao kuhusu nchi ya Botswana
Sasa kila nikitembea moyo umeja Botswana
Nina viwanja viwili, nimeamua niviuze ndani ya mwaka huu nihakikishe nahamia huko, sihitaji kuajiliwa, ntajiajili mwenyewe tu,
Najua nikiwa na wasitani wa million 10 sitakosa hata Mashine na vioo ili nifungue hata saluni ya kiume.
Mwisho kabisa, km kuna mtu anampango wa kwenda huko ani pm tupange mipango tushuke pamoja
NB:Tutakae kwenda pamoja asiwe mvuta sigara, bangi, mnywa pombe, mpenzi wa madem
Kiufupi awe ni mtu asie tumia kilevi.