Botswana sieñdi kukaa tu, ntafanya kazi hata ya kuzibua vyoo, then niende ninako taka.Tongo tongo unatoa kwa hiyo hela una viwanja vingine vya kuuza...
hatari sana.ukiwa na buku tu.![]()
The capital Gaborone has more than 1,200 Zimbabwean sex workers while 300 operate in Francis town near the Plumtree border post. The resort town, Kasane, has 100 Zimbabwean sex workers and others are scattered in various urban areas in Botswana.
There are almost 4,153 commercial sex workers in the three towns. More than 70 per cent of the women cite financial gain and lack of employment as reasons for engaging in this trade.
Botswana is second after Swaziland in terms of HIV/Aids prevalence rate in Africa.
In 2012, it was estimated at least 400,000 people aged between 15 and 49 in Botswana were living with HIV/Aids.
Botswana has a population of 2 million
Ndugu zanguni sina mengi ya kusema, Binafsi ni mdau wa JF, nimekuwa nikisoma uzi kibao kuhusu nchi ya Botswana
Sasa kila nikitembea moyo umeja Botswana
Nina viwanja viwili, nimeamua niviuze ndani ya mwaka huu nihakikishe nahamia huko, sihitaji kuajiliwa, ntajiajili mwenyewe tu,
Najua nikiwa na wasitani wa million 10 sitakosa hata Mashine na vioo ili nifungue hata saluni ya kiume.
Mwisho kabisa, km kuna mtu anampango wa kwenda huko ani pm tupange mipango tushuke pamoja
NB:Tutakae kwenda pamoja asiwe mvuta sigara, bangi, mnywa pombe, mpenzi wa madem
Kiufupi awe ni mtu asie tumia kilevi.
mimi sihami ng'o,tatizo watanzania hampendi kujisomea na kujua mambo mengi, ni kweli Hali ni ngumu sana, Kama mnayo mitaji jifunzeni forex, Mimi kwa mtaji wa $50 tu naingiza $20 per day nyingi Sana Hizo, nyie hameni tu, tatizo mnakalili biashara, mnawaza kufungua maduka tuHata mimi sikuhizi nimeanza kua na mawazo ya kuhama nchi
Sasa hiyo ni takwimu ya 2012, sasa hivi inaweza ikawa wenye nao ni milioni mbili kati ya wananchi milioni 3...shubaaamit!..milioni 2 halafu 400,000 wana ngwengwe;
.nendeni tu!
...hahahahaha..we jamaa utamfanya jamaa aghairi kwenda!Sasa hiyo ni takwimu ya 2012, sasa hivi inaweza ikawa wenye nao ni milioni mbili kati ya wananchi milioni 3
Tupe nasi huo mchongo ndugumimi sihami ng'o,tatizo watanzania hampendi kujisomea na kujua mambo mengi, ni kweli Hali ni ngumu sana, Kama mnayo mitaji jifunzeni forex, Mimi kwa mtaji wa $50 tu naingiza $20 per day nyingi Sana Hizo, nyie hameni tu, tatizo mnakalili biashara, mnawaza kufungua maduka tu
Nasikia kuna ukimwi huko hatareee kisu cha ngaribaKaribu sana Botswana.
Nasikia kuna ukimwi huko hatareee kisu cha ngariba
Msumbiji wanatumia lugha gani?Mkuu Nakishauri kama ni kazi ya Kinyozi nenda Msumbiji. Maputo mkuu saloon za kunyoa nywele ni kama hakuna tu. Ninacho kueleza nimeshuhudia kwa macho yangu nilishindwa kipiga picha hiyo saloon niliokwenda niliogopa pengine wangenielewa vibaya. Masaa kadhaa natafuta saloon nilipokuja kuiona dah .
