Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Madaktari wanaohitimu katika vyuo vinavyotambuliwa huwa wanakimbilia Botswana. Ila inapigwa interview ya kufa mtu. Tz nendeni ila mjiandae kwa hiyo interview.
 
Mkuu vipi waalimu wa mathematics ?

Vipi na wafamasia huko wanawachukua ?
 
Madaktari wanaohitimu katika vyuo vinavyotambuliwa huwa wanakimbilia Botswana. Ila inapigwa interview ya kufa mtu. Tz nendeni ila mjiandae kwa hiyo interview.
Kwani wewe hujui kwamba watanzania wako huko kitambo?
Huko hata nadereva daladala wengi ni wanawake kuna fursa nyingi za kazi
 
Back
Top Bottom