Botswana cracks down on Chinese investors

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
25 July, 2011

The Government has embarked on a nationwide crackdown on Chinese nationals recently exposed by authorities for trading without licenses.

The Minister of Labour and Home Affairs, Peter Siele, has decided to kick these Chinese nationals out of Botswana.

Siele has so far cancelled residence permits for about 30 Chinese nationals accused of violating the country's trade laws.

This comes in the wake of a joint operation by immigration, Trade and Industry, Botswana Police, Customs and Excise as well as Botswana Bureau of Standards launched last month targeting Chinese business operations to assess quality of their goods and tax returns among others.

The notification letters, mostly served during the long President's Holidays weekend, gave the Chinese nationals seven days to leave the country.

However, the Chinese nationals, most of whom own warehouses and sell mostly merchandise ranging from furniture, clothing, shoes, bags, jewellery, cosmetic lotions, leather goods and electrical appliances among others, are protesting against Siele's decision to throw them out of Botswana.

On Thursday, lawyers acting for Lin Hong, He Mei Zhi, Deng Jin Di, Wu Dong Ming, Gong Wei Qui, Chan Jian Feng, Bi Ying Xia, Guan Rui Sheng, Wang Yu Bao and Bi Xiao Bo, Bayford and Associates and another law firm, Otto Itumeleng Law Chambers, gate crashed a conference of the Administration of Justice to try and halt the deportation notice by minister Siele.

By Thursday, most of the Chinese nationals had just less than 24 hrs to vacate the country.
Justice Lot Moroka's court was forced to convene on a Phakalane Estate conference room to urgently hear at least two cases involving about 13 Chinese nationals who are on notice to vacate the country.

Appearing on behalf of Wu Guibin, a Chinese business woman who stands to be separated from her husband and family, attorney Otto Itumeleng urged Judge Moroka to suspend the decision for his client to leave Botswana, arguing that the minister has not disclosed reasons for seeking to kick out Guibin from Botswana.

Itumeleng told Moroka that his client was in the process of challenging the notice through an application for a review, adding that if thrown out of the country his client would be unable to launch such an application.

He said that his client, who has stayed over 10 years in Botswana, could lose property over night despite the possibility of an erroneous decision by the minister.

Unfortunately, when the case was heard, government was not represented.

Appearing for eleven others, lawyer Dick Bayford told Moroka that he was also concerned that his clients had not been given a hearing as required by law.

He said that it had taken time for his clients to bring the matter before court because there were not conversant with either English or Setswana language.

He said that his clients were aggrieved by the minister's decision and had resolved to take up the issue with the High Court after 30 days and, therefore, pleaded with the Court to temporarily suspend the notice and allow his clients to continue staying in Botswana pending the review application.

However, the subtle exchange between the lawyers and David Moloise, for the Attorney General, agreed to allow the Chinese national to stay in Botswana pending their case to challenge Siele's decision.

Sunday Standard - Online Edition
 
we need to do the same exercise for all those without permit to do business

MtM
 
mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!
 
mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
wizara ya mambo ndani na tic sijui wanalionaje hili!
unawezaje kuwakimbiza wawekezaji..wamekujengea uwanja wa mpira..wewe??
 
mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!(wawekezaji hao)Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!
na kuna kipindi fulani waliongelea hili la wachina kufanya umachinga dar lakini bado sijaona impact yoyote kwenye hilo.swala hapa ni sisi wenyewe kuwa creative na tusiwe wavivu wakujituma ni hayo tu..
 
unawezaje kuwakimbiza wawekezaji..wamekujengea uwanja wa mpira..wewe??
Hawa si wawekezaji. Ni walanguzi. Uwanja wa mpira ulikuwa government to government. Wanaelewana wao wenyewe jinsi watakavyolipana. Botswana got it just right.
 
Jasusi, Pumbatupu kasema Point kubwa sana ila tu hamuioni. Hicho alichosema ni zaidi ya uwanja wa Taifa.

Sasa hivi Mchina ameanza ku-Black Mail mataifa kibao. Akija sehemu yoyote, anakuja na mazuri na mabaya. Mkijifanya hamuyataki Mabaya yake basi anatishia kuondoa mazuri yake.

Sasa kuna wengine wanasema "hivi na wao wakiwafukuza Watanzania huko kwao (Wamachinga) na sisi tuwafukuze Machinga wa Kichina, nani atafaidi na nani atalia? Wengi wanadai kuwa China kuna Watanzania wengi Machinga kuliko wao hapa Tanzania.

Ila Wachina nao sarakasi sana. Wakikupigia simu uje uuwe mende kwenye maduka yao, ni Kasheshe.

Hawa si wawekezaji. Ni walanguzi. Uwanja wa mpira ulikuwa government to government. Wanaelewana wao wenyewe jinsi watakavyolipana. Botswana got it just right.
 
Last edited by a moderator:
Kuna tofauti kati ya kufanya HISANI (kwangu mie nachukulia ni hiari) na kulazimishwa. Nimeshasoma sehemu mataifa makubwa hata ya Ulaya, wanalazimishwa na Mchina kucheza jinsi anavyotaka yeye.

Ninachosema mie ni kuwa hawa watu ni wa ku-HANDLE WITH CARE.
Sikonge, kwa hiyo tunafanyiana hisani eeh? (kulipa fadhila)
 
Kuna tofauti kati ya kufanya HISANI (kwangu mie nachukulia ni hiari) na kulazimishwa. Nimeshasoma sehemu mataifa makubwa hata ya Ulaya, wanalazimishwa na Mchina kucheza jinsi anavyotaka yeye.
Ninachosema mie ni kuwa hawa watu ni wa ku-HANDLE WITH CARE.

Hapo kwenye RED Sio kweli, mkuu!
Mchina anafanya usanii kwenye currency manipulations ya Yuan, and that's it. Linapokuja suala la immigration, work permits, employment mmarekani na hata EU hawataki mchezo kabisaa, hapo hata mimi nawapa big ups sababu wako vry strict na huo ujinga. Ndio maana kila kukicha melfu ya wachina wanakamatwa wamejificha kwenye makontena ya meli wakitaka kuzamia US na wanarudishwa.
 
Mkuu, unapojadili, jadili katika 3D na siyo 2D.

Ninachosema hapa si hayo unayoyasema TU ila kuna mengine ya aina nyingi tu ambayo watu wa West wanalazimishwa.

Nikupe mfano mdogo tu:

Airbus zinaungiwa Ufaransa peke yake na kidogo German kama sikosei. Lile Pipa linatoka German, Mabawa yanatoka UK na Spain kama sikosei na Engine zinatoka UK. Hapo walishamaliza na hawahitaji mtu yeyote kutaka kubadilisha. Mchina kaja na pendekezo kuwa atanunua Airbus zaidi ya 100 ila tu, Airbus wajenge kiwanda China. Eu wakabisha ila walipoona ni ndege ngapi watauza kulinganisha na Boeng, wakaona hili deal hatuliachi. Wameshakubali kuweka kiwanda cha kwanza cha ndege za Airbus nje ya EU. Huo ndiyo ubabe wa Mchina.

Kwa nchi kama EU, USA hawahitaji kupeleka Machinga huko. Huko wanaenda na deal za kufa mtu na siyo kudeal na machinga. Hizi za Machinga naona watakuwa wana deal Wabunge na Mabalozi. Ila ukiwanyanyasa basi ujuwe Dragon akishaamka, atakumeza na mtoto wake mkali.

Mkuu bado majibu yako ni ya kujitungia. Mchina hulazimisha ujinga wake kwa nchi mafala na zenye njaa. US na EU hawataki huo ujinga wa wamachinga wa Kariakoo na wauza mitumba wa kichina. Again linapokuja suala la immigration na employment, US na EU hawa-entertain uppuzi mnaofanyiwa Third world. Hiyo deal ya Airbus kuwa assemble China soma hapo chini utapata majibu. Research majibu yako kabla hujaongea. Asante

Airbus employs around 52,000 people at sixteen sites in four European Union countries: Germany, France, the United Kingdom and Spain. Final assembly production is at Toulouse (France), Hamburg (Germany), Seville (Spain) and, since 2009, Tianjin (People's Republic of China).[SUP][6][/SUP] Airbus has subsidiaries in the United States, Japan, China and India.
The company is known for producing and marketing the first commercially viable fly-by-wire airliner, the Airbus A320,[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] and the world's largest airliner, the A380.
Source: Weekipedia
 
mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!

bhit umetembea china ..?!! kuna watanzania wengi sana kule wanafanya biashara ndogo ndogo.. mfano nenda mji unaitwa YIWU unawakuta wanauza vinyago , na vitu vingine vidovidogo... kuna baadhi ni wahudumu hadi hoteli kazi ambazo mchina anweza kuzifanya! ..

so angalia upande wa pili wa shilingi!
 
Mkuu, usisome sana na kuiamini Wikipedia:

[h=1]China threatens Airbus over EU carbon cap[/h]
r
By Pete Harrison and Julien Toyer
BRUSSELS | Fri May 20, 2011 11:42am EDT

(Reuters) - China has threatened retaliation against French planemaker Airbus (EAD.PA) if the European Union goes ahead with plans to include international aviation in its carbon market, three sources said on Friday.

China threatens Airbus over EU carbon cap -sources | Reuters

Sasa yeye anachokifanya kwa EU ni kuwaambia "sintanunua Airbus na kiwanda chenu sikitaki......" Hizo Order za mamia ya ndege, mtanunua nyinyi Watanzania? Kuna nyingine alimtishia Mfaransa kama watampokea Dalai Lama.

Mkuu bado majibu yako ni ya kujitungia. Mchina hulazimisha ujinga wake kwa nchi mafala na zenye njaa. US na EU hawataki huo ujinga wa wamachinga wa Kariakoo na wauza mitumba wa kichina. Again linapokuja suala la immigration na employment, US na EU hawa-entertain uppuzi mnaofanyiwa Third world. Hiyo deal ya Airbus kuwa assemble China soma hapo chini utapata majibu. Research majibu yako kabla hujaongea. Asante

Airbus employs around 52,000 people at sixteen sites in four European Union countries: Germany, France, the United Kingdom and Spain. Final assembly production is at Toulouse (France), Hamburg (Germany), Seville (Spain) and, since 2009, Tianjin (People's Republic of China).[SUP][6][/SUP] Airbus has subsidiaries in the United States, Japan, China and India.
The company is known for producing and marketing the first commercially viable fly-by-wire airliner, the Airbus A320,[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] and the world's largest airliner, the A380.
Source: Weekipedia
 
Angalia hizi pia na useme sasa juu ya USA yako:

China threatens US sanctions over arms sale
GUANGZHOU: China will erect trade sanctions against Boeing and other large US companies unless the US Congress blocks the Obama administration's planned $US6.4 billion ($7.2 billion) weapons sales program to Taiwan, a senior defence strategist said. Rear Admiral Yang Yi told the Herald yesterday China was prepared to hurt itself in order to teach the administration a lesson.

Viper, nashukuru wewe umethibisha haya ninayosema mie hapa. Mie niliambiwa tu na mshikaji kuwa kuna Watz wengi sana China ila nisingeliweza andika habari ya kusikia zaidi ya kugusia tu kwa mbali.
 
Kuna tofauti kati ya kufanya HISANI (kwangu mie nachukulia ni hiari) na kulazimishwa. Nimeshasoma sehemu mataifa makubwa hata ya Ulaya, wanalazimishwa na Mchina kucheza jinsi anavyotaka yeye.Ninachosema mie ni kuwa hawa watu ni wa ku-HANDLE WITH CARE.
Mmh mkubwa nimekupata....Handle with Care! Heheee na hiyo biti waloichimbia marekani, ndo napata picha ya ulichosema.
 
bhit umetembea china ..?!! kuna watanzania wengi sana kule wanafanya biashara ndogo ndogo.. mfano nenda mji unaitwa YIWU unawakuta wanauza vinyago , na vitu vingine vidovidogo... kuna baadhi ni wahudumu hadi hoteli kazi ambazo mchina anweza kuzifanya! ..so angalia upande wa pili wa shilingi!
Viper sheria zetu (kadiri ya ufahamu wangu) zinatoa vibali vya kazi kwa 'wataalam' wa fani maalumu! Hii inasaidia kuwapa nafasi ya ajira wazawa. Sasa sijui utaratibu wa China, labda wao wamachinga watz wanaruhusiwa na taratibu zao. vinginevyo alichokisema mkuu Sikonge kinanipa picha halisi
 
bhit umetembea china ..?!! kuna watanzania wengi sana kule wanafanya biashara ndogo ndogo.. mfano nenda mji unaitwa YIWU unawakuta wanauza vinyago , na vitu vingine vidovidogo... kuna baadhi ni wahudumu hadi hoteli kazi ambazo mchina anweza kuzifanya! ..

so angalia upande wa pili wa shilingi!

IMO haijalishi kua Wa TZ wako wangapi China and Wachina wako wangapi TZ
Watanzania wanaweza kua wako wengi China but katika an individual basis kiasi
kwamba hata kama serkali yetu inaelewa wako wangapi huko... haina maana...

Shida ni kwamba the Chinese ni moja wa race ambayo iko so conniving na kua hua
wana strategies za nguvu na za malengo yenye end result yenye manufaa kwao...
Kwamba in the long run serkali yao itaangalia ni jinsi gani waboreshe uwepo wa hawa
wananchi wao waweze sukwa ipasavyo katika system ya inchi ndogo kama TZ.
Na ukiiangalia kwa undani.... Kweli we are in trouble... too soon to tell nini but
still aftermarth-trouble from ther in-flow will be there all the same!!
 
Back
Top Bottom