Botswana cracks down on Chinese investors

Botswana cracks down on Chinese investors

IMO haijalishi kua Wa TZ wako wangapi China and Wachina wako wangapi TZ
Watanzania wanaweza kua wako wengi China but katika an individual basis kiasi
kwamba hata kama serkali yetu inaelewa wako wangapi huko... haina maana...

Shida ni kwamba the Chinese ni moja wa race ambayo iko so conniving na kua hua
wana strategies za nguvu na za malengo yenye end result yenye manufaa kwao...
Kwamba in the long run serkali yao itaangalia ni jinsi gani waboreshe uwepo wa hawa
wananchi wao waweze sukwa ipasavyo katika system ya inchi ndogo kama TZ.
Na ukiiangalia kwa undani.... Kweli we are in trouble... too soon to tell nini but
still aftermarth-trouble from ther in-flow will be there all the same!!

Hahaha ! Asha.. mbona wanitafuna mzima mzima hivi..?!! mimi nimetoa suggestion wasichkue maamuzi ya haraka ambayo baadaye tutakuja kuyajutia wenyewe !

Yiwu kule kunakuwa exhibition za balozi mabalimbali ... ukifika ule mji ni kama haumo ndani ya china actually ni one of the bigest international trade city ... kuna wajasiria mali wengi sana wa tanzania wanafanya biashara na mataifa mbalimbali duniani kupitia YIWU!..

http://en.wikipedia.org/wiki/Yiwu_market

nakumbuka nilifika katika kijibanda cha exibition about tanzania ... muda wa daikika chache nilizokaa alikuja mtu toka jordan akiuliza kuhusu mafuta ya alizeti kama yanapatikana bongo ... etcl! my point tunapata wawekezaji kupitia china coz ni moja ya nchi inatembelewa na wafanyabiashara wengi mno..

so tufikirie mara mbili kuwatimua wachina bongo..! kwani mkomunist hakopeshi atawatimuwa wabongo wote na yeye katika kila kona ya china alafu tuone nani atakayepata hasara !...

tukiingia katika swala zima la Elimu! .. hebu jaribu kuuliza ni nchi gani inachukuwa mamia ya wanafunzi wa kitanzania kuwosomesha kwa fedha za walipa kodi wao...

Wuhan city! nenda katika kona yoyote ya ule mji sema tanzania ! muda mfupi niliopita ule mji nimekutana na more 80 tanzanians wanasoma kwa schollership kupitia " china schollership council" tena ni wanafunzi wanatoka shule zetu za serikali utasikia mimi nilisoma songea, mwengine tosa maganga, sio wale watoto wa vijisenti ambao tuapigana nao vikumbo uk, usa... etc

My point Mchina anaumuhimu wake kwa nchi kama yetu ilivyomaskini ... unafikiri kwa nini nyerere alikuwa swahiba mkubwa sana na china.. hadi wakaja kutujengea reli ya tazara, leo hii kila mchina ukimwambia unatokeatanzania atakwambia wewe ni rafiki yangu sana na atakukumbusha kuhusu reli ya tazara .

tunachotakiwa kufanya tuwawekee mipaka! kwamba retail trade ibaki kwa wazawa .. wao waishie kwenye whole sale ama industrial level .... kuwafukuza we are the we will be on the loss
 
Hahaha ! Asha.. mbona wanitafuna mzima mzima hivi..?!! mimi nimetoa suggestion wasichkue maamuzi ya haraka ambayo baadaye tutakuja kuyajutia wenyewe !

Yiwu kule kunakuwa exhibition za balozi mabalimbali ... ukifika ule mji ni kama haumo ndani ya china actually ni one of the bigest international trade city ... kuna wajasiria mali wengi sana wa tanzania wanafanya biashara na mataifa mbalimbali duniani kupitia YIWU!..

Yiwu market - Wikipedia, the free encyclopedia

nakumbuka nilifika katika kijibanda cha exibition about tanzania ... muda wa daikika chache nilizokaa alikuja mtu toka jordan akiuliza kuhusu mafuta ya alizeti kama yanapatikana bongo ... etcl! my point tunapata wawekezaji kupitia china coz ni moja ya nchi inatembelewa na wafanyabiashara wengi mno..

ha ha ha.... Viper alafu i was supportiing uloongea but nikaongezea....
Umenifurahisha kweli... nilikua sikuli mzima mzima... after all najua you and
i both appreciate this Great "Zindakee" lol

And of coz nakubaliana na your point of view ya this post pia... Na najua NDIO
we need them... but like everything else from a foreighner bado tutaja ona
the pinch hapo badae... inaweza isiwe leo wala kesho but still...
 
hahaha .... sawa "didi" btw karibu najifunza kucheza chess hapa! natumia chess master! ni 1 kati ya mchezo ninayo penda but sijui jinsi ya kucheza! ...
 
hahaha .... sawa "didi" btw karibu najifunza kucheza chess hapa! natumia chess master! nipo kati ya mchezo niayo penda but sijui jinsi ya kucheza! ...

Viper mimi ni Chess player.... na am telling you HUNIPATI.... For

i am a Mini-master of Check mating your queen....lol
 
Viper mimi ni Chess player.... na am telling you HUNIPATI.... For

i am a Mini-master of Check mating your queen....lol

Dah! umenitisha hata game hatujaanza .. sawa didi .. aim surrendering my King! and die with dignity ...

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
3260546-the-black-king-surrendering-on-a-chess-board.jpg
 
Dah! umenitisha hata game hatujaanza .. sawa didi .. aim surrendering my King! and die with dignity ...

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
3260546-the-black-king-surrendering-on-a-chess-board.jpg

ha ha ha.... bora ume surrender... i hate playing with people hawawezi Challenges...

One bluff and tayari you are down!! Hata bado nilikua sijanyanyua my favourite

L move ya hourse?? BTW... Nimependa the pic...
 
Angalia hizi pia na useme sasa juu ya USA yako:Viper, nashukuru wewe umethibisha haya ninayosema mie hapa. Mie niliambiwa tu na mshikaji kuwa kuna Watz wengi sana China ila nisingeliweza andika habari ya kusikia zaidi ya kugusia tu kwa mbali.
Hata Membe aliichimba mkwara UK juu ya pesa za RADAR, Kwahiyo baada ya china kumtishia mtu mzima Nyau, US wamesitisha mpango wao wa kuipa silaha Taiwan?
 
Angalia hizi pia na useme sasa juu ya USA yako:

Viper, nashukuru wewe umethibisha haya ninayosema mie hapa. Mie niliambiwa tu na mshikaji kuwa kuna Watz wengi sana China ila nisingeliweza andika habari ya kusikia zaidi ya kugusia tu kwa mbali.

U.S. sells weapons to Taiwan, angering China
By John Pomfret
Washington Post Staff Writer
Saturday, July 16, 2011
The Obama administration announced the sale Friday of $6 billion worth of Patriot anti-missile systems, helicopters, mine-sweeping ships and communications equipment to Taiwan in a long-expected move that sparked an angry protest from China.
The sale, formally announced by the Defense Security Cooperation Agency, is expected to prompt China to slow or even break military relations with the United States and cancel a visit by President Hu Jintao to Washington in October. Chinese officials have threatened other actions, including sanctions on the U.S. companies supplying the equipment or on businesses in the districts of congressional lawmakers known to be backers of Taiwan.
The weapons deal, which constitutes the second part of a package that was announced at the end of the Bush administration, comes at a time of heightened tensions between the countries, despite an intense effort by the Obama administration to improve ties with Beijing. The two are at odds over how to deal with Iran's nuclear program; they are bickering over issues involving Internet freedom and how Beijing is treating Western businesses; and soon they could clash again over Tibet.
he United States says weapons sales to Taiwan help to maintain stability in East Asia by making it more difficult for Beijing to bully Taiwan. The United States is legally obligated to provide weapons for Taiwan's defense, under the Taiwan Relations Act.
"This is a clear demonstration of the commitment that this administration has to provide Taiwan the defensive weapons it needs," State Department spokesman Philip J. Crowley said Friday.

Back
Top Bottom