dewji alipeleka, muulize kilichomkuta,huko wa.sa.la.mu wachache kuna a.k.a makafiri wengi ndio mana hawaletei
dewji alipeleka, muulize kilichomkuta,huko wa.sa.la.mu wachache kuna a.k.a makafiri wengi ndio mana hawaletei
Mkuu mbona Uingereza iliwahi kuongozwa na Waziri Mkuu (John Major) mwenye cheti cha Sekondary, mantiki ya ku-insist kwamba mgombea lazima hawe na shahada ya Chuo Kikuu sielewi kabisa!!! Jacob ZUMA ana degree ngapi?
unataka tuongozwe na lukuvi mzee wa vyeti
Boti hii ina sadikika imegharimu 4 billion tu !! lakini cha kushangaza Boti iliyo nunuliwa na Serikali yetu kwa ajili ya usafiri wa Bagamoyo na ikiwa na ubora usiolingana na hii , imegharimu 8 billion.
Kwa hakika Tanzania ni shamba la Bibi mafisadi wanafaidi kwa mrija bila woga. !!
View attachment 263330
Mali bira daftari huisha bila habari....bakhresa ni mfanyabiadhara anayetumia wasomi kwenye biashara zake ndio maana anafanikiwa....nimewahi kukutana na watu wake wa lab pale airport wanasindikiza mzigo wa hamira iliyo expire kuirudisha Germany kiwandani ili wambadilishie....hakika niliamini anawatumia wasomi ipasavyo...