Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Mi najua basi?
Ukiiona kwenye maji ni sawa na zile nyingine. Sema hii imekuwa customized inside...
Mi najua basi?
Kweli mkuu....
Jee tutapanda bure?!!
Halafu utasikia Kinana na Nape wamekimbilia kwenda kuizindua!
Hivi kila anapokwenda Kinana lazima awe na Nape? Najiuliza tuu , nadhani Nape alistahili kuwa na mikutano yake sio?
Hana degree ya chuo kikuu kinachotambulika na serikali
Ubora umeupimaje? Kwasababu ya hio rangi inayong'aa na vioo?!!
awapakii bia! leseni haizuii mnatubagua!
Mkuu mbona Uingereza iliwahi kuongozwa na Waziri Mkuu (John Major) mwenye cheti cha Sekondary, mantiki ya ku-insist kwamba mgombea lazima hawe na shahada ya Chuo Kikuu sielewi kabisa!!! Jacob ZUMA ana degree ngapi?
Usije ukazani hilo lote ni boti, boti ni ile iliyopakiwa tu
ila izo merit zimejaa ubaguzi ktk kutoa huduma. mizigo aina ya via hawapakii? kwani leseni ya biashara ililuhusu ubaguzi huo? watoa leseni mnataalifa iyo?