nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,157
Heshima yake ni kubwa kuliko URaisBakhresa si agombee URAIS tu maana ameweza na zaidi akiwa RAIS ataweza zaidi...
mawazo yangu tu
nayo ni mawazo yangu tu.
Heshima yake ni kubwa kuliko URaisBakhresa si agombee URAIS tu maana ameweza na zaidi akiwa RAIS ataweza zaidi...
mawazo yangu tu
Heshima yake ni kubwa kuliko ubunge.The man [Bakhresa] is serious with business bhana. Namshauri agombee hata ubunge somewhere hakika hatakosa
ila izo merit zimejaa ubaguzi ktk kutoa huduma. mizigo aina ya via hawapakii? kwani leseni ya biashara ililuhusu ubaguzi huo? watoa leseni mnataalifa iyo?
Huyu mzee Bakhresa akigombea kupitia UKAWA nampigia kura.
Mkuu mbona Uingereza iliwahi kuongozwa na Waziri Mkuu (John Major) mwenye cheti cha Sekondary, mantiki ya ku-insist kwamba mgombea lazima hawe na shahada ya Chuo Kikuu sielewi kabisa!!! Jacob ZUMA ana degree ngapi?
tumsimamishe ukawa
Kilichobaki sasa ahamie kanda ya ziwa tu hizo za Zenji zinatosha sasa huku nako kuna watanzania wanahitaji huduma zake kama wanavyonunua Unga,maji,nyanya,Nazi nk
Aliachana siasa baada ya lile sekeseke la kumwagiwa mchele wake baharini kwa kufadhili CUF. Hata hivyo hana degree
alishajaribu kupeleka boti 2 magufuli akamzuia kasema ataharibu barabara zake. ila kenya kupitia mombasa walikubali.
Hana degree ya chuo kikuu kinachotambulika na serikali
Mkuu sasa wenye degree na uprofesa wamelifanyia nini taifa letu? tena wengine wana degree za uchumi ungetegemea hilo ndilo eneo lao la kujidai watumie utaalamu wao wote uchumi wetu uneemeke. Tumeishia kuwa ombaomba:rant:
Alikuwa siyo Bakhresa mkuu. Alikuwa ni yule mwenye boti za sea express
Kilichobaki sasa ahamie kanda ya ziwa tu hizo za Zenji zinatosha sasa huku nako kuna watanzania wanahitaji huduma zake kama wanavyonunua Unga,maji,nyanya,Nazi nk
Watu wa chadema bhana kila kitu ccm kila kitu ccm, wenyeviti na makatibu wana nyumba mpaka uarabuni sio pesa ya walipa kodi, watu kila mwezi wanapewa miillioni 300 za kuendeshea chama zinafanya nini hata banda la mbao hawana, wanataka upewe nchi hata ofisi ya chama ni ya kupanga, wanakula wao tu tuleteeni basi na sisi tule michango ya vifo inaliwa tu tunaumia kwa ajili ya chama chadema acheni ufisadi akina mbowe na timu yako