Boti mpya ya Bakhresa yawasili

Mkuu, manunuzi ya serikali ni tofauti, huku lazima watu waongeze sifuri, rimu ya karatasi tu kwa tenda ya serikalini inafikia 25,000!!maji makubwa ya uhai lita 1.5,kwa serikalini ni 5000!!!

Kweli Mkuu . Fagio elfu kumi.
 
Yale mabasi yako wapi mzee tuangalie na sie wa bara
 
Mkuu, manunuzi ya serikali ni tofauti, huku lazima watu waongeze sifuri, rimu ya karatasi tu kwa tenda ya serikalini inafikia 25,000!!maji makubwa ya uhai lita 1.5,kwa serikalini ni 5000!!!

Sielewagi kabisa maana ya hii sheria ya manunuzi, na wanavyoikomalia sasa!!??
 
Yale mabasi yako wapi mzee tuangalie na sie wa bara
Hahhaa,mkuu yale Mabasi 200 aliotaka kuyamwaga Dar kwenda mikoani alisitisha.
Wamiliki wa Mabasi Dar njaa ingewauwa.

Ila nahisi kwa hili la Migomo Dara ambapo wamiliki hawataki kutoa Mikataba kwa Maderava na wanakimbia mikutano na madereva,basi wakizingua tu atayamwaga.Maana mwanzo Serikali iliminya kimtindo kwa kuongea na mtu mzima kwamba,babaeee huku kuna undeground wenye mabasi ya mkopo watakufa njaa,kumbe wanaosaidiwa kuombewa nao majeuri kama nini
 
Kwa kumbukumbu zangu siku ya uzinduzi wa Kilimanjaro 4 au 3. Bakhresa Alisema anataka kufanya kama daladala.
Yaani hii inaondoka na hii inapakia abiria,so more Kilimanjaro zinakuja
 
huyu Bakhresa ana pesa sana hii boti utasikia JK akienda kuizundua
 
Uzuri wa hawa wenzetu wenye asili ya kiarabu na kihindi wanajali sana undugu kwenye kuendeleza biashara zao na wanazisimamia kutoka moyoni ili ziendelee kunufaisha vizazi vyao.. Yaani utakuta mtoto wa mjomba anasimamia kampuni kama ya baba yake na mjomba nae anamjali kama mwanae ilimradi kampuni iendelee.. Endelea kutuletea huduma bora Bakhresa :flame:


 
Hongera kwake...wazenj hukiita chombo!,yakheee chombo kipya hicho...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…